Roman Abramovich kuamua hatma ya Jose Mourinho Chelsea leo
Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich atalazimika kumlipa Jose Mourinho zaidi ya pauni milioni 40 kama atamfukuza kazi ya kuwa kocha wa Chelsea kwenye kikao cha dharura siku ya Jumatano.
Abramovich alikuwa na mazungumzo na timu ya makocha – Bruce Buck, Marina Granovskaia, Eugene Tenenbum na Michael Emenalo – kuhusu mustakabali wa Mourinho.
Wakati Mreno huyo aliporejea klabuni hapo mwaka 2013, bodi ilimpigia kura 3-2 kumpendekeza yeye. Leo litakuwa suala jingine.
Mourinho anayelipwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mourinho na Abramovich kuijenga Chelsea.
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Mourinho amuomba Abramovich ampe muda zaidi kurudisha makali ya Chelsea
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho.
Na Rabbi Hume
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amemuomba mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich muda zaidi wa kukijenga kikosi chake kufuatia kuanza msimu wa 2015/2016 vibaya.
Taarifa zinasema Mourinho amefikia uamuzi wa kumuomba muda tajiri huyo kutokana na matokeo anayopata na anachohitaji ni muda ili asubiri dirisha la usajiri la January.
Taarifa hizo zinasema Mourinho anataka kufanya usajili kwa kutoa wachezaji ambao anaona hawana uwezo wa kucheza kwenye...
10 years ago
Bongo509 Jan
Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho ashtakiwa na FA
9 years ago
Bongo517 Dec
Kocha Jose Mourinho atimuliwa Chelsea

Chelsea imemtimua meneja wake Jose Mourinho.
Kocha huyo raia wa Ureno mwenye miaka 52, alikuwa akiifundisha Chelsea kwa awamu ya pili kuanzia June 2013.
Chelsea imekuwa na msimu mbaya zaidi kwa kufungwa mechi 16 hadi sasa.
Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos ni majina yanayotajwa zaidi kushika nafasi yake.
Akiwa na Chelsea, kocha huyo alishinda ubingwa wa ligi kuu ya England mara tatu, mbili katika awamu yake ya kwanza kati ya mwaka 2004 na 2007.
Jiunge na...
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Jose Mourinho afutwa kazi Chelsea
10 years ago
GPL
JOSE MOURINHO AONGEZA MIAKA 4 CHELSEA
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Jose Mourinho atimuliwa kazi Chelsea
Jose Mourinho.
Meneja wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufululiza kwa matokeo mabovu.
The Blues walishinda Ligi Kuu England msimu uliopita lakini msimu huu mambo yamekuwa kinyume, na wapo nafasi moja tu juu ya eneo la kushushwa daraja kwenye ligi hiyo.
Bodi ya klabu hiyo ilikutana jana kujadili hatma ya Mourinho chini ya mmiliki wa klabu hiyo, Mrusi Roman Abramovich.
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 52 amekuwa Chelsea kwa kipindi cha pili,...
10 years ago
Africanjam.Com
ROMAN ABRAMOVICH AMRUHUSU PETR CECH KUTIMKIA ARSENAL

Ijumaa iliyopita, Sky Sports walidai kwamba Cech angesaini Emirates siku hiyo, lakini haikutokea.Mashabiki wa Arsenal wamechoka kusikia tetesi inayotangaza kwamba watamsajili golikipa wa Chelsea, Petr Cech, lakini siku ya kufanya hivyo haijulikani.Kwa wiki kadhaa, taarifa zimekuwa zikitoka kuwa Cech anaweza kusaini leo, lakini hiyo leo haifiki.
Hii inazua wasiwasi kama kweli Cech atajiunga na Arsenal majira haya ya kiangazi kwa dau la paundi milioni 11.Hata hivyo, Jose Mourinho hapendi kuona...
10 years ago
Africanjam.Com
WHAT JOSE MOURINHO SAID ABOUT WENGER BEFORE TODAY'S CHELSEA CLASH WITH ARSENAL
