Mourinho amuomba Abramovich ampe muda zaidi kurudisha makali ya Chelsea
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho.
Na Rabbi Hume
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amemuomba mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich muda zaidi wa kukijenga kikosi chake kufuatia kuanza msimu wa 2015/2016 vibaya.
Taarifa zinasema Mourinho amefikia uamuzi wa kumuomba muda tajiri huyo kutokana na matokeo anayopata na anachohitaji ni muda ili asubiri dirisha la usajiri la January.
Taarifa hizo zinasema Mourinho anataka kufanya usajili kwa kutoa wachezaji ambao anaona hawana uwezo wa kucheza kwenye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mourinho na Abramovich kuijenga Chelsea.
9 years ago
Bongo516 Dec
Roman Abramovich kuamua hatma ya Jose Mourinho Chelsea leo
Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich atalazimika kumlipa Jose Mourinho zaidi ya pauni milioni 40 kama atamfukuza kazi ya kuwa kocha wa Chelsea kwenye kikao cha dharura siku ya Jumatano.
Abramovich alikuwa na mazungumzo na timu ya makocha – Bruce Buck, Marina Granovskaia, Eugene Tenenbum na Michael Emenalo – kuhusu mustakabali wa Mourinho.
Wakati Mreno huyo aliporejea klabuni hapo mwaka 2013, bodi ilimpigia kura 3-2 kumpendekeza yeye. Leo litakuwa suala jingine.
Mourinho anayelipwa...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Baada ya kumtimua Jose Mourinho, Chelsea imetangaza kocha wa muda wa timu yao ….
Uongozi wa klabu ya Chelsea December 16 iliripotiwa kuweka kikao cha dharura kujadili mwenendo wa timu yao kwa sasa, Chelsea baada ya kukaa kikao hicho cha bodi, December 17 walitangaza rasmi kumfuta kazi Jose Mourinho na nafasi yake kubaki wazi. Stori mpya ni kuwa uongozi wa klabu ya Chelsea December 19 umetangaza rasmi kumteua kwa […]
The post Baada ya kumtimua Jose Mourinho, Chelsea imetangaza kocha wa muda wa timu yao …. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo509 Dec
Mourinho: Abramovich yupo pamoja na mimi
![2F2BB2CC00000578-3350987-image-a-18_1449580241332](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F2BB2CC00000578-3350987-image-a-18_1449580241332-300x194.jpg)
Kocha wa Mabingwa watetezi wa ligi ya England Chelsea Jose Mourinho amesema mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich yuko pamoja nae licha ya msimu mbovu wa mabingwa hao wa England.
Hadi sasa Chelsea wapo nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu England baada ya kupoteza Mechi 8 za Ligi kati ya 15. Leo Jumatano Desemba 9 wanacheza Mechi ya mwisho ya Kundi lao na FC Porto wakihitaji Sare tu au ushindi ili kusongambele.
Akiongea kuhusu kuelekea Mechi ya UCL, Mourinho, alipoulizwa kama atabakishwa kama...
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Mourinho:Drogba bado ana makali
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …
Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009 kama kocha wa muda wa klabu hiyo, Guus Hiddink ambaye ndio ameichukua Chelsea mikononi mwa Jose Mourinho ili aiokoe isiporomoke zaidi, ameanza kwa kuwatuliza mashabiki […]
The post Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake … appeared first on...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mourinho atimuliwa Chelsea
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Bodi ya Chelsea yamjadili Mourinho