Jose Mourinho asema hakuna bora kama yeye
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesisitiza kuwa yeye ni bora kushinda yeyote yule katika kuifunza klabu hiyo licha kupoteza mechi tatu mfululizo katika msimu huu. Baada ya kichapo hicho cha mabao 3-1 dhidi ya Everton ,Mourinho alisema kuwa watu wengi sasa wanafurahia janga lake. “Haya ni matokeo mabaya zaidi katika kazi yangu,” alisema Mourinho. “Sijazoea […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili13 Sep
'Hakuna bora kama mimi',Mourinho ajigamba
9 years ago
Bongo507 Dec
Jose Mourinho: Akili Itakuwa vigumu kumaliza nne bora
![2F1F8D9E00000578-3348535-image-m-24_1449441762108](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F1F8D9E00000578-3348535-image-m-24_1449441762108-300x194.jpg)
Kocha wa wa Chelsea Jose Mourinho amekiri kuwa itakuwa ngumu kwa timu yake kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada yao kufungwa 1-0 na Bournemouth nyumbani Jumamosi.
Hiki ni kichapo cha nane katika mechi 15 za Ligi ya Premia, kimewaacha mabingwa hao watetezi wakiwa alama 14 nyuma ya Manchester United walio nambari nne.
“Lengo letu ni kumaliza katika nne bora,” alisema Mourinho.
“Kabla ya mechi hii, kulikuwa na msingi kufikiria kuwa tulikuwa na uwezo wa kujitoa katika hali hii...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka …
Headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kukaribia kujiunga na klabu ya Manchester United bado zinazidi kushika kasi sehemu mbalimblia, kwa wapenzi na mashabiki wa soka duniani kote kwa sasa vijiwe vyao mara nyingi mada kuu ni Louis van Gaal na Jose Mourinho. December 25 Mtu wangu wa nguvu nimekutana na list kutoka sokka.com ya wachezaji watano wa […]
The post Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka … appeared first on...
9 years ago
Habarileo24 Aug
Hakuna kama Dk Magufuli, asema Mkapa
WATANZANIA wameelezwa kuwa katika wagombea wote ambao wameidhinishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mgombea pekee ambaye anafaa kuiongoza Tanzania ni mgombea wa CCM, Dk John Magufuli.
5 years ago
MichuziMBUNGE LIJUALIKALI ASEMA KAMA CHADEMA KIMEMTOA MBALI NA YEYE PIA AMEKITOA MBALI,AANIKA KILA KITU KUHUSU WABUNGE WANAVYOKATWA MISHAHARA YAO KUCHANGIA CHAMA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
MBUNGE wa Jimbo la Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Peter Lijualikali amezidi kuanika namna ambavyo wabunge wa Chama hicho ambavyo wamekuwa wakikatwa fedha zao na kisha kuzuliwa kuhoji matumizi ya fedha na namna zinavyotumika huku akieleza hatishwi na kauli za kwamba Chama kimemtoa mbali kwani hata yeye amekitoa mbali tu.
Siku za karibuni mbunge huyoa ameingia kwenye malumbano na Chama chake baada ya kuamua kubaki na msimamo wake...
9 years ago
Vijimambo18 Sep
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6pEoU2cJ1I0*xH4AZuFrGkKpMD8PBUMovJBHuzRqtxat4RsuWcENGsbGSf6gWnPQ8yD5hTzcCDHiF2wnDzLwvlO/url.jpg?width=650)
JOSE MOURINHO HAKUNAGA
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Kauli yamponza Jose Mourinho
LONDON, ENGLAND
CHAMA cha Soka England (FA), kimemfungia mchezo mmoja kuingia uwanjani na faini ya pauni 50,000 kocha wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho.
Adhabu hiyo imekuja baada ya kocha huyo kukutwa na kosa la kuvunja kanuni za FA inayohusiana na maelezo yake ya mwisho wa mchezo walipofungwa na Southampton mabao 3-1.
Mourinho alikutwa na kosa la kumbwatukia mwamuzi wa mchezo huo, akidai kuwa aliwaua baada ya kuwa na ‘hofu ya kutoa maamuzi kwa Chelsea’.
FA imesema kuwa ina uwezo wa...