Mourinho:Taji la mchezaji bora lifutwe
Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kwamba taji la mchezaji bora duniani Ballon d'Or linafaa kuondolewa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Nov
Meyiwa kuwania taji la mchezaji bora
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Kocha Mourinho aipa taji Man City
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Timu mbovu kuliko zote duniani inataka kumuajiri Mourinho, eti akitwaa taji la Ligi wanamfukuza !!!
Ikiwa bado tunaelekea katika kipindi cha dirisha dogo la usajili la mwezi January kwa vilabu vya barani Ulaya, bado zile headlines za kocha huyu ataenda huku na mchezaji huyu ataenda kule zinachukua nafasi. Aliyekuwa kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho, December 30 zimetoka stori za klabu ya kibrazil imeomba kutaka kumuajiri. Ibis […]
The post Timu mbovu kuliko zote duniani inataka kumuajiri Mourinho, eti akitwaa taji la Ligi wanamfukuza !!! appeared first on...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Kiiza mchezaji bora Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa timu hiyo, iliyotolewa kabla ya kuanza kwa mazoezi yao Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Kiiza amepewa zawadi ya tuzo yenye picha ya kiatu pamoja na mpira na kiasi cha fedha cha Sh 500,000, akiwapiku wachezaji wenzake ambao nao walikuwa wakiishindania. Tuzo hiyo ya Kiiza imetokana na moto wake wa kufunga mabao Ligi Kuu akiwa kileleni amefunga...
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Michael Carrick ni mchezaji bora
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Tuzo ya mchezaji bora Afrika.
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Ronaldo mchezaji bora wa Ulaya