Meyiwa kuwania taji la mchezaji bora
Marehemu Senzo Meyiwa ni mmoja ya walioteuliwa kuwania taji la mwanasoka bora barani afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Mourinho:Taji la mchezaji bora lifutwe
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Bongo515 Dec
Yaya Toure atajwa tena kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika

Yaya Toure, ametajwa tena miongoni mwa wachezaji watatu bora kuwania taji la mwana soka bora mwaka huu na shirikisho la soka barani Afrika (CAF).
Tuzo hii huwajumuisha wachezaji wa Afrika wanaocheza soka ng’ambo.
Andre ‘Dede’ Ayew kutoka Ghana
Nyota huyo wa Manchester City kwa mara nyengine atakuwa akipigania taji hilo dhidi ya mshambulizi wa Black Stars ya Ghana na Swansea Andre ‘Dede’ Ayew na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon na Borussia Dortmund.
Pierre Emerick Aubameyang kutoka...
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
9 years ago
BBCSwahili05 Dec
Albino kuwania taji la urembo Tanzania
11 years ago
Michuzi
12 kuwania taji la miss Kilimanjaro 2014

10 years ago
Habarileo12 Sep
Mbelwa, Dimos kuwania taji la Taifa
BONDIA Said Mbelwa anatarajia kupanda ulingoni kuwania mkanda wa Taifa wa Chama cha Ngumi za Kulipwa (PST) dhidi ya George Dimos utakaofanyika Septemba 26, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Butiama Villa Club uliopo Chanika Ilala, Dar es Salaam.