Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


12 kuwania taji la miss Kilimanjaro 2014

Walimbwende 12 wanaotarajia kuwania taji la mrembo wa mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2014 wakiwa katika pozi la picha kwenye hotel ya Sal salnero mjini Moshi,shindano hilo litafanyika Juni 6 mwaka huu katika ukumbi wa Kili Home mjini Moshi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Nani kutwaa Taji la Miss Tabata 2014 leo Tarehe 06/06/2014?

 Husna Ibrahim  Evodia Mdemu  Happiness Wilson  Lightness Olomi  Fatma Hussein  Marium Shwaib  Ramta Mkadara  Angela Kashaga  Ambasia Maliy  10.Nuru Omary  Mary Henry  Najma Charles  Faudhia Feka  .Lydia Charle  .Lydia Charle Mary Kazula

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA

Warembo walioshiriki Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika usiku huu jijini London ambapo 
Miss World 2013 Megan Young tayari amemvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS taji  la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. Fainali hizo zilioneshwa live hapa hapa Globu ya Jamii....angalia...

 

10 years ago

Michuzi

Caroline Bernard anyakua taji la Miss Universe 2014

 Mrembo Caroline Bernard akipungia mkono muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndio Miss Univerce 2014,katika hafla iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.Picha na Othman MichuziMrembo Calorine Bernard akipongezwa na washiriki wenzake.

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi. MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia kitita cha milioni 18 usiku huu katika…

 

11 years ago

GPL

AMINA SALIM ATWAA TAJI LA MISS MBAGALA 2014

Miss Mbagala 2014, Amina Salim akipokea zawadi baada ya kutwaa taji hilo. Miss Mbagala 2014 akikabidhiwa zawadi ya DSTV.
Majaji wakiwa…

 

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk. Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amejivua taji hilo leo, mshindi wa pili, Lillian Kamazima amrithi, Lundenga athibitisha. Habari kamili kuwajia…

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Washiriki 30 wa kinyanganyiro cha kumsaka Miss Tanzania wakijitambulisha kwa shoo. Warembo wakipita na vazi la ufukweni. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto), akiwa na katibu wa kamati hiyo, Bosco Majaliwa.…

 

11 years ago

Michuzi

AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014

Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata. Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .   Miss Tabata...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

MREMBO Sitti Mtemvu aliyekuwa Miss Temeke 2014, Oktoba 11, 2014 aliibuka kidedea katika fainali za shindano la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia taji hilo sambamba na shilingi milioni 18. Katika shindano hilo lililofanyika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nafasi ya pili ilikwenda kwa Lilian Kamazima ambaye alijishindia shilingi milioni 6 huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Jihan Dimachk. Dorice Mollel alishika nafasi ya nne...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani