Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA

Warembo walioshiriki Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika usiku huu jijini London ambapo 
Miss World 2013 Megan Young tayari amemvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS taji  la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. Fainali hizo zilioneshwa live hapa hapa Globu ya Jamii....angalia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ROLENE STRAUSS WA AFRIKA KUSINI ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014

Rolene Strauss wa Afrika Kusini ameshinda taji la Miss World 2014 jijini London usiku huu, Edina Kulcsar wa Hungary akishika nafasi ya pili na Elizabeth Safrit wa Marekani akichukua nafasi ya tatu.

 

10 years ago

Bongo5

Rolene Strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World

Miss South Africa, Rolene Strauss ndiye Miss World 2014. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22 na mwanafunzi wa medical ameshinda taji hilo kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili jijini London, Uingereza. Miss Hungary Edina Kulcsar alishika nafasi ya pili na Miss United States, Elizabeth Safrit akishika nafasi ya tatu. Kabla ya ushindi orodha ya warembo […]

 

9 years ago

Bongo5

Miss Spain ashinda taji la Miss World 2015

missworld1

Mrembo wa Hispania, Mireia Lalaguna Royo mwenye umri wa miaka 23 ametangazwa mshindi wa taji la Miss World 2015 katika shindano lililofanyika Sanya, China Jumamosi ya Dec.19.

missworld1

Miss Russia, Sofia Nikitchuk ameshika nafasi ya pili huku Miss Indonesia, Maria Harfanti amekamata nafasi ya tatu.

Miss Spain ni msomi mwenye degree ya Pharmacology na ana mpango wa kusoma Masters ya Nutrition.

Jumla ya warembo 114 walishindana, na nchi zilizoingia kwenye kumi bora ni Russia, Philippines, Guyana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrembo wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World 2014

Mashindano ya urembo ya dunia yamemalizika jana huku mrembo kutoka Afrika Kusini, Rolene Strauss akiibuka Miss World 2014 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ExCeL London jijini London, England.

 

10 years ago

Michuzi

RACHAEL CLAVERY ASHINDA TAJI LA MISS LAKE ZONE 2014 USUIKU HUU MJINI BUKOBA

Mshindi wa Miss Lake Zone 2014 Rachael Clavery (katikati) akila pozi katika picha ya ukumbusho na mshindi wa pili Mary Emanuel( kulia) na Mshindi wa tatu Nikole Sarakikya ( kushoto). Rachael amejinyakulia zawadi nono ya Gari la millioni 10 katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza usiku huu. Shindano hilo lilikuwa na Walimbwende 18 wote wakichuana vikali na kila mmoja akitaka ashinde kabla ya Rachael Clavery kuwafunika wenzake na kuibuka na ushindi. Gari aliloshinda Miss Lake Zone 2014...

 

10 years ago

Vijimambo

MISS SOUTH AFRICA NDIO MISS WORLD MPYA

Rolene Strauss Miss South Africa 2014

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss South Africa crowned Miss World

Part-DV-DV1928206-1-1-0

Miss South Africa and 2014 Miss World Rolene Strauss reacts after being crowned during the grand final of the Miss World 2014 pageant in London on December 14, 2014 (AFP Photo/Leon Neal).

London (AFP) – Miss South Africa, 22-year-old Rolene Strauss, was crowned Miss World 2014 at the contest’s glitzy final in London on Sunday, with an estimated billion viewers watching on television around the globe.

Miss Hungary, Edina Kulcsar, was judged the runner-up and Miss United States, Elizabeth...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani