Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RACHAEL CLAVERY ASHINDA TAJI LA MISS LAKE ZONE 2014 USUIKU HUU MJINI BUKOBA

Mshindi wa Miss Lake Zone 2014 Rachael Clavery (katikati) akila pozi katika picha ya ukumbusho na mshindi wa pili Mary Emanuel( kulia) na Mshindi wa tatu Nikole Sarakikya ( kushoto). Rachael amejinyakulia zawadi nono ya Gari la millioni 10 katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza usiku huu. Shindano hilo lilikuwa na Walimbwende 18 wote wakichuana vikali na kila mmoja akitaka ashinde kabla ya Rachael Clavery kuwafunika wenzake na kuibuka na ushindi. Gari aliloshinda Miss Lake Zone 2014...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA

Warembo walioshiriki Fainali za 64 za shindano la urembo la Miss World lililofanyika usiku huu jijini London ambapo 
Miss World 2013 Megan Young tayari amemvisha Miss South Africa Rolene STRAUSS taji  la ushindi wa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano na maonesho wa ExCel London Exhibition and Convention Centre. Jumla ya washiriki 125 walipanda jukwaani na kushindania taji hilo, akiwemo mrembo Happiness Watimanywa wa Tanzania. Fainali hizo zilioneshwa live hapa hapa Globu ya Jamii....angalia...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrembo wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World 2014

Mashindano ya urembo ya dunia yamemalizika jana huku mrembo kutoka Afrika Kusini, Rolene Strauss akiibuka Miss World 2014 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ExCeL London jijini London, England.

 

10 years ago

GPL

ROLENE STRAUSS WA AFRIKA KUSINI ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014

Rolene Strauss wa Afrika Kusini ameshinda taji la Miss World 2014 jijini London usiku huu, Edina Kulcsar wa Hungary akishika nafasi ya pili na Elizabeth Safrit wa Marekani akichukua nafasi ya tatu.

 

9 years ago

Bongo5

Miss Spain ashinda taji la Miss World 2015

missworld1

Mrembo wa Hispania, Mireia Lalaguna Royo mwenye umri wa miaka 23 ametangazwa mshindi wa taji la Miss World 2015 katika shindano lililofanyika Sanya, China Jumamosi ya Dec.19.

missworld1

Miss Russia, Sofia Nikitchuk ameshika nafasi ya pili huku Miss Indonesia, Maria Harfanti amekamata nafasi ya tatu.

Miss Spain ni msomi mwenye degree ya Pharmacology na ana mpango wa kusoma Masters ya Nutrition.

Jumla ya warembo 114 walishindana, na nchi zilizoingia kwenye kumi bora ni Russia, Philippines, Guyana,...

 

5 years ago

Michuzi

MWANADIPLOMASIA ASHINDA TAJI LA MISS UTALII PWANI 2020

Prisca Richard Masanja, mwanafunzi wa chuo cha Diplomasia cha Dar es Salaam, ameibuka mshindi wa taji la Miss Utalii mkoa wa Pwani mwaka 2020 ( Miss Tourism Coast Region 2020), katika kinyang'anyilo maalum kilicho fanyika katika hoteli ya kitalii ya Regency Park ,tarehe 26 ,Februari 2020, na kushirikisha jumla ya washiriki 13.  Kwa ushindi huk Prisca Richard Masanja(6), pamoja na washindi wa 2- 5 ,watawakilisha mkia wa pwani katika fainali za kanda za Miss Utalii kanda ya Pwani ya Kaskazini...

 

10 years ago

Bongo5

Rolene Strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World

Miss South Africa, Rolene Strauss ndiye Miss World 2014. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22 na mwanafunzi wa medical ameshinda taji hilo kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili jijini London, Uingereza. Miss Hungary Edina Kulcsar alishika nafasi ya pili na Miss United States, Elizabeth Safrit akishika nafasi ya tatu. Kabla ya ushindi orodha ya warembo […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Pia Alonzo kutoka Ufilipino ashinda taji la Miss Universe 2015

CWulpSyUkAQPa2y

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach katika picha ya pamoja washiriki wenzake wa Miss Universe 2015 baada ya kuvikwa taji hilo.(Picha kwa hisani ya @MissUniverse).

pia-alonso-miss-universe-philippines-winner-five-things-to-know-ftr-600x901

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach.

CWt_6bSUkAE_O-F

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach katika ubora wake.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach ameshinda taji la Miss Universe 2015 katika fainali ya mashindano hayo yamefanyika usiku wa jumapili, Planet Hollywood Las...

 

11 years ago

Dewji Blog

Nani kutwaa Taji la Miss Tabata 2014 leo Tarehe 06/06/2014?

 Husna Ibrahim  Evodia Mdemu  Happiness Wilson  Lightness Olomi  Fatma Hussein  Marium Shwaib  Ramta Mkadara  Angela Kashaga  Ambasia Maliy  10.Nuru Omary  Mary Henry  Najma Charles  Faudhia Feka  .Lydia Charle  .Lydia Charle Mary Kazula

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani