AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014
Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .
Miss Tabata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/141.jpg)
Ambasia Maliy atwaa taji la Redd’s Miss Tabata 2014
Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da’west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .
![23](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/231.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
AMBASIA MALIY ALIVYOTWAA TAJI LA MISS TABATA 2014
11 years ago
GPLAMBASIA MALIY NDIYE MISS TABATA 2014
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Nani kutwaa Taji la Miss Tabata 2014 leo Tarehe 06/06/2014?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dy9ynGgwNlQix8gYlXT*181j-yqQkKAHdGTfSIqi1-f72rOWR-ppDQ5ET9ND8gslO24mjCQqkZtCL-2Xkz2FrOye8ZHhyQc7/breakingnews.gif)
SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
11 years ago
GPLAMINA SALIM ATWAA TAJI LA MISS MBAGALA 2014
11 years ago
Bongo511 Aug
Mrembo wa Ethiopia atwaa taji la Miss Africa USA 2014
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Sitti Mtemvu atwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014
MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...
10 years ago
VijimamboJihan Dimachk atwaa taji la Redd's Miss Tanzania Top Model 2014
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10