Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Asas Dairies Ltd kwa mwaka wa tatu mfululizo yashikilia tuzo ya ubora, yazibwaga kampuni kongwe

Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia)  akiwa na   wafanyakazi  wenzake baada ya  kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika  bidhaa za Asas Dairies Ltd. Hii  ndio kampuni  iliyoweza  kushinda tuzo ya  ubora.

Medali  ,vyeti na  tuzo  ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena  mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.

blogger-image--1075361007

Vyeti na medali tatu ambazo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena.

Baadhi ya  bidhaa za kampuni ya Asas...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS DAIRIES LTD KWA MWAKA WA TATU MFULULIZO YASHIKILIA TUZO YA UBORA ,YAZIBWAGA KAMPUNI KONGWE TENA WAZIRI KAMANI APONGEZA

Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia)  akiwa na   wafanyakazi  wenzake baada ya  kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika  bidhaa za Asas Dairies Ltd 
Hii  ndio kampuni  iliyoweza  kushinda tuzo ya  uboraMedali  ,vyeti na  tuzo  ya ushindi  ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena  mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS YASHINDA TUZO MAONYESHO YA NANE NANE

Kikombe  cha ushindi  katika maonyesho ya nane nane  ambacho kampuni ya maziwa ya Asas ilipata Wananchi  Dodoma  wakiwa katika banda la Asas  wakati wa nane nane  kununua maziwa Nyani  aliyekuwepo katika maonyesha  wakulima nane nane  katika mikoa ya nyanda za juu kusini mkoani Mbeya akifurahia maziwa ya Asas 
Na Francis Godwin KAMPUNI ya Asas Dairies Ltd ya  mkoani Iringa imeibuka kidedea baada ya  kushinda tuzo  katika maonyesho ya wakulima nane nane  mkoani Arusha na Mbeya. Pia kampuni...

 

5 years ago

Michuzi

BONGOZOZO: KUNYWENI MAZIWA YA ASAS YANA UBORA WA KIMATAIFA

Mkurugenzi wa kampuni ya Maziwa ya Asas, Ahmed Salim Abri akiwa na balozi Maziwa ya AsasNick Reynolds ‘Bongo Zozo’ wakizungumza na wandishi wa habari mkoani Iringa,mara baada ya kumtangaza rasmi Bongozozo kuwa balozi wa kampuni hiyo.

Mkurugenzi wa kampuni ya Maziwa ya Asas, Ahmed Salim Abri akiwa na balozi Maziwa ya AsasNick Reynolds ‘Bongo Zozo’ wakizungumza na wandishi wa habari mkoani Iringa,mara baada ya kumtangaza rasmi Bongozozo kuwa balozi wa kampuni hiyo.
BALOZI wa kampuni ya Maziwa...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.

DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAZIWA YA ASAS WAWADHAMINI BAJAJI



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akikata utepe kuzindua uandikishwaji wa madereva bajaji kuweza kukata bima ya afya ambapo wamedhaminiwa na kampuni ya maziwa ya Asas ambapo mkurugenzi wake Ahmed Salim Abri akiwa pembeni mwa kushoto kwal Lukuvi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akimkabidhi cheti cha...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAZIWA YA ASAS YAIPA JOWUTA Barakoa 1,000

Katibu Mkuu wa JOWUTA, Suleiman Msuya kulia akimkabidhi Mwakilishi wa MICHUZI MEDIA GROUP (MMG), Avila Kakingo barakoa kwaajili ya waandishi wa chombo chake cha habari jijini Dar es Salaam leo, ili waweze kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID 19) wawapo kazini.Katibu Mkuu wa JOWUTA, Suleiman Msuya kulia akimkabidhi Mwakilishi wa MICHUZI MEDIA GROUP (MMG), Avila Kakingo barakoa kwaajili ya waandishi wa chombo chake cha habari jijini Dar es Salaam leo, ili waweze kujikinga na...

 

11 years ago

Michuzi

Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele (kushoto) akitembelea banda la Shirika la Heifer International Tanzania katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Mfugaji wa Shrika la Heifer, Emannual Mgesi (aliyevaa Kaunda suti nyekunde) akimweleza Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Joh Henjewe pamoja na wakazi wengine wa Musoma kuhusu ufugaji bora wa ng’ombe wakati wa maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Meneja wa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AZINDUA WIKI YA MAZIWA, KUANZISHA KAMPENI YA KUKAGUA WANAOKUNYWA MAZIWA YA UNGA

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema itaanzisha kampeni ya kukagua Ofisi za Umma na binafsi ambazo zinatumia maziwa ya unga badala ya maziwa halisi yanayotengenezwa nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega leo jijini Dodoma wakati akizindua wiki ya maziwa nchini ambayo itafanyika hadi Juni 1.

Naibu Waziri Ulega amesema ni jambo la aibu kuona watanzania wakitumia maziwa ya unga na kuacha yale yanayotengenezwa na watanzania wenzao jambo ambalo amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani