Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM: Tutakuwa makini uteuzi wabunge

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uteuzi wa wagombea ubunge na uwakilishi, utazingatia yale yaliyofanyika katika uteuzi wa mgombea wao wa urais, na kusisitiza kuwa kuongoza kura za maoni sio mwisho wa safari, bali kigezo cha kuelekea katika uteuzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi wabunge wa Katiba mfupa mgumu kwa JK

>Rais Jakaya Kikwete hataweza kukamilisha uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba katika muda wa wiki mbili kama ilivyokuwa imekadiriwa awali, kutokana na wingi wa majina yaliyopendekezwa kwa ajili ya uteuzi huo.

 

10 years ago

Mtanzania

Joto la uteuzi wabunge laanza kupanda Dodoma

Nape-NnauyeNa Bakari Kimwanga, Dodoma

JOTO la uteuzi wa mwisho la kupata wagombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) limezidi kupanda, huku chama hicho kikitangaza uamuzi mgumu kwa wagombea waliocheza rafu na hata kupindua matokeo.

Mbali na hayo, viongozi wa ngazi ya wilaya na mikoa wanaodaiwa kuwabeba kinyume na utaratibu nao wapo hatarini kuvuliwa nyadhifa zao.

Taarifa kutoka ndani ya CCM zililiambia MTANZANIA jana kuwa kikao cha Sekretarieti kilichokutana mjini hapa, kilijadili baadhi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema Mbeya walalamikia uteuzi wabunge viti maalumu

Uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kupitia Chadema umezua taharuki mkoani hapa na Kanda ya Nyanda za Juu kwa ujumla baada ya wanachama na viongozi wa chama hicho kuanza kulalamikia wakidai umetumika upendeleo.

 

5 years ago

Michuzi

WAKATI BUNGE LIKIELEKEA MWISHONI...SPIKA AWATAKA WABUNGE KUWA MAKINI KWANI MAKOMBORA NI MENGI

Said Mwishehe, Michuzi TV
WAKATI Bunge likielekea ukingoni na wabunge kurudi tena kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020, Spika wa Bunge Job Ndugai amewashauuri wabunge hao kuwa makini kwani makombora ni mengi kipindi hiki.
Akizungumza leo Bungeni Mjini Dodoma Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa hiki ni kipindi ambacho wanatakiwa kuwa makini wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu makombora jimboni yanakuwa mengi, hivyo wachukue tahadhari.
Ushauri huo wa Spika Ndugai kwa wabunge umekuja baada...

 

11 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa Kikwete waikoroga CCM

>Uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuwaacha katika Baraza la Mawaziri, mawaziri wote waliotajwa na CCM kuwa wameshindwa kutekeleza majukumu yao umekichanganya chama hicho, baada ya jana kusema kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya mawaziri hao na wengine, iwapo watashindwa kurekebisha upungufu wa kiutendaji unaozikabili wizara zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aionya CCM uteuzi wa wagombea

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amezitaka ngazi mbalimbali za uteuzi wa wagombea wa CCM kuwapa wananchi nafasi kuchagua watu wanaowataka ili kuepuka kupoteza viti katika uchaguzi.

 

10 years ago

StarTV

CCM yatefanya uteuzi wa makatibu wa Wilaya 27.

Na Blaya Moses, Dodoma.

 

Kamati kuu ya chama cha mapinduzi ccm imeendelea na kikao chake mjini dodoma kwa kuwateua makatibu wa wilaya ishirinini na saba kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo wengine kufariki dunia na kumaliza muda wao wa utumishi ndani ya chama

 

Aidha kikao hicho pia kimejadili namna chama hicho kitakavyojipanga ili kuhakikisha kinaibuka na ushindi katika uchaguzi wa seriakli za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani afunguka uteuzi wa urais CCM

Jaji mstaafu Augustine Ramadhani amesema anaheshimu matokeo ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa malezi aliyopitia ndivyo yanavyomwelekeza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani