Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makala ya Rais Kikwete alipoendesha vikao vya CCM vya uteuzi wa mgombea urais wa CCM mjini DODOMA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili mjini Dodoma tayari kwa kuongoza Vikao vya CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya CCM. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kushoto ni Makamu wa CCm Bara Ndugu Philip Mangula. Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dodoma wakimvika skafu na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIVYOWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA CCM NA KULIHUTUBIA BUNGE

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye uwanja cha ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atoa Uraia kwa Wakimbizi wa Burundi- Aongoza Vikao vya CCM Dodoma

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa hati ya Uraia wa Tanzania Bi.Bizimana Nyakiki Naluka mmoja wa kati ya wakimbizi 162000 kutoka Burundi waliopatiwa uraia wa Tanzania jana katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Tabora jana. Baadhi ya Wakimbizi 162000  kutoka Burundi walipatiwa uraia wa Tanzania jana mjini Tabora. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wakimbizi 162000 kutoka Burundi waliopatiwa hati za uraia wa Tanzania katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Tabora...

 

10 years ago

Michuzi

Nape azungumzia sababu za kuchelewa kwa Vikao vya CCM, Mjini Dodoma

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye, akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo asubuhi Julai 10, 2015. 
Nape amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo yatapelekwa mbele ya Mkutano Mkuu utakaofanyika Jumamosi Julai 11, 2015. 
Nape amesema vikao vyote...

 

10 years ago

Vijimambo

UWT YAANZA VIKAO VYA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM KUPITIA CCM

JUMUIYA ya Umoja wa Wanawake Tanzania iliyo chini ya Chama Cha Mapinduzi CCM, imeanza vikao vya uteuzi wa wanaogombea ubunge viti maalum huko makao makuu ya CCM Dodoma. Mkutano huo unaongozwa na mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Sophia Simba. Pichani Baadhi ya Wapambe wa Wagombea kupitia Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) wakipita na mabango yenye picha za Wagombea wao nje ya ukumbi wa mikutano wa NEC Dodoma kabla ya kuanza mkutano wa uchaguziMwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake...

 

10 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa mgombea Urais,CCM inapita njia nyembamba

Ndugu wasomaji wangu leo, siku ambayo CCM inatarajiwa kumteua na kumtangaza mgombea wake wa urais, nimeona niendelee kuandika kuhusu chaguo lao litakuwaje bila kuathiriwa na mgogoro wa vizazi, Edward Ngoyai Lowassa, makundi na mitandao, ubara na uzanzibari na mwisho kabisa ukanda.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTAMBULISHA MGOMBEA URAIS WA CCM KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu Hassan, Mgombea mwenza wa ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam :Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam. Meza Kuu ikimfurahia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM  tawala Dkt John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani