Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape azungumzia sababu za kuchelewa kwa Vikao vya CCM, Mjini Dodoma

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye, akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo asubuhi Julai 10, 2015. 
Nape amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo yatapelekwa mbele ya Mkutano Mkuu utakaofanyika Jumamosi Julai 11, 2015. 
Nape amesema vikao vyote...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili mjini Dodoma tayari kwa kuongoza Vikao vya CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya CCM. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kushoto ni Makamu wa CCm Bara Ndugu Philip Mangula. Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dodoma wakimvika skafu na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atoa Uraia kwa Wakimbizi wa Burundi- Aongoza Vikao vya CCM Dodoma

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa hati ya Uraia wa Tanzania Bi.Bizimana Nyakiki Naluka mmoja wa kati ya wakimbizi 162000 kutoka Burundi waliopatiwa uraia wa Tanzania jana katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Tabora jana. Baadhi ya Wakimbizi 162000  kutoka Burundi walipatiwa uraia wa Tanzania jana mjini Tabora. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wakimbizi 162000 kutoka Burundi waliopatiwa hati za uraia wa Tanzania katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Tabora...

 

10 years ago

GPL

VIKAO VYOTE VYA CCM KUANZA LEO SAA 4 ASUBUHI - NAPE NNAUYE

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai 10, 2015. KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YATANGAZA TAREHE ZA VIKAO VYAKE VIKUBWA VITAKAVYOFANYIKA MJINI DODOMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.=========  ========  ======= Na Chaalila...

 

10 years ago

Michuzi

JK atua mjini Dodoma leo kuendesha vikao vya chama cha mapinduzi

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma.Alhaj Kimbisa amekanusha uvumi uliosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa ameihama CCM. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana   (picha na Freddy Maro) Mwenyekiti wa CCM...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIVYOWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA CCM NA KULIHUTUBIA BUNGE

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye uwanja cha ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani