CCM YATANGAZA TAREHE ZA VIKAO VYAKE VIKUBWA VITAKAVYOFANYIKA MJINI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pHtt_seVB5U/VVc5M-phWhI/AAAAAAAHXpQ/HpOBLtXYA2M/s72-c/_MG_3099.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.========= ======== ======= Na Chaalila...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi22 Jan
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/lJRcsLXbmoY/default.jpg)
Nape azungumzia sababu za kuchelewa kwa Vikao vya CCM, Mjini Dodoma
Nape amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo yatapelekwa mbele ya Mkutano Mkuu utakaofanyika Jumamosi Julai 11, 2015.
Nape amesema vikao vyote...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-tVfx5wcZR-c/VD6C1tNI-eI/AAAAAAAGqoo/iULuV_qJybU/s72-c/unnamed%2B(50).jpg)
Rais Kikwete awasili mjini Dodoma tayari kwa kuongoza Vikao vya CCM
![](http://1.bp.blogspot.com/-tVfx5wcZR-c/VD6C1tNI-eI/AAAAAAAGqoo/iULuV_qJybU/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4u_cnFKnHWQ/VD6C1gxIXgI/AAAAAAAGqow/qNJUxL0RNMU/s1600/unnamed%2B(51).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/_69WFUiNhVk/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2VtGkOmA82A/VHxtozC5jWI/AAAAAAAG0kA/5b93HUgk8c8/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI DODOMA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DnF2HuD2N6s/VZuqkU8-GTI/AAAAAAAAgp8/sbVR7JhJHHo/s72-c/1.jpg)
TAREHE 11 JULAI CCM KUMTANGAZA MGOMBEA WAKE MJINI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-DnF2HuD2N6s/VZuqkU8-GTI/AAAAAAAAgp8/sbVR7JhJHHo/s640/1.jpg)
“Leo tarehe 7 mwezi wa saba tunaanza vikao vya mchakato wa mkutano mkuu wa taifa wa CCM ambao unnategemewa pamoja na mambo mengine utapitisha ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-20 20 lakini pia utateua mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia CCM, na pia kutakuwa na kikao cha halmashauri kuu ambacho...
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
9 years ago
MichuziNEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20 Desemba, 2015
Majimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa kipindi cha miaka mitano.
Majimbo hayo hayakufanya uchaguzi tarehe 25.10.2015 kutokana na baadhi ya wagombea katika majimbo hayo kufariki dunia.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damiani Lubuva amewasihi wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa amani na utulivu. Jaji Lubuva amesema...