BUNGE KUANZA VIKAO VYAKE JUMANNE TAREHE 27 JANUARI 2015
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QI37sdZWn1I/VK6fy7eNRXI/AAAAAAAG8EI/rCxtoXB3YJg/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-QI37sdZWn1I/VK6fy7eNRXI/AAAAAAAG8EI/rCxtoXB3YJg/s1600/New%2BPicture.png)
BUNGE LA TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
Taarifa kwa umma kupitia vyombo habari kuhusu vikao vya kamati za Bunge kuanza tarehe 13 — 23 Januari 2015
Mwito kwa kamati 2015.docx by moblog
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kamati ya Bunge ya Bajeti kuanza vikao vyake Oktoba 13 hadi Novemba 2 mwaka huu jijini Dar
Kamati Oct 2014.doc by moblog
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pHtt_seVB5U/VVc5M-phWhI/AAAAAAAHXpQ/HpOBLtXYA2M/s72-c/_MG_3099.jpg)
CCM YATANGAZA TAREHE ZA VIKAO VYAKE VIKUBWA VITAKAVYOFANYIKA MJINI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pHtt_seVB5U/VVc5M-phWhI/AAAAAAAHXpQ/HpOBLtXYA2M/s640/_MG_3099.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-a7QBW6DNpgc/VVc5PTcGkOI/AAAAAAAHXpY/zPV_81Skivo/s640/_MG_3030.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2VtGkOmA82A/VHxtozC5jWI/AAAAAAAG0kA/5b93HUgk8c8/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI DODOMA
Picha na habari na Owen Mwandumbya, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeandaa Bunge la Vijana linalofanyika Mjini Dodoma kwa siku tatu, ikiwa ni jitihada la kuwajengea uwezo vijana wa vyuo vikuu nchini. Bunge hilo liloanza vikao vyake juzi linalojumuisha Vijana kutoka Vyuo Vikuu 15 vya hapa Nchini vinavyozunguka mkoa wa Dodoma. Bunge hilo linalotarajiwa kumalizika tarehe 3 Desemba, 2014, ni sehemu ya Mpango wa Elimu kwa Umma ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
10 years ago
VijimamboMAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27
10 years ago
Habarileo20 Oct
Kamati za Bunge kuanza vikao leo
VIKAO vya Bunge vya Kamati za Kudumu vinatarajiwa kuanza jijini Dar es Salaam leo ambapo masuala mbalimbali yatajadiliwa na kamati hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Bunge hilo, Thomas Kashililah, wabunge wote wa Bunge hilo wameagizwa kuhudhuria vikao hivyo.
11 years ago
Mwananchi25 May
Vikao Bunge la Afrika Mashariki kuanza kesho
Bunge la Afrika Mashariki (Eala), linaanza vikao vyake kesho. Bunge hilo lilivunjika Aprili Mosi mwaka huu kutokana na vurugu zilizosababishwa na hoja ya kumng’oa Spika Margrethe Zziwa.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wQajb8Js9TU/VEMO7YGtFPI/AAAAAAAGrzw/kE-33XOEqHM/s72-c/images.jpg)
Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge kuanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu
![](http://3.bp.blogspot.com/-wQajb8Js9TU/VEMO7YGtFPI/AAAAAAAGrzw/kE-33XOEqHM/s1600/images.jpg)
Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014 zitapokea na kujadili pamoja na mambo mengine Muswada wa Marekebisho ya Sheria...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania