Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA




BUNGE LA TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam

IMG_0694

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.

Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...

 

10 years ago

Michuzi

Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge kuanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu Oktoba 20,  2014. 
Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014 zitapokea na kujadili pamoja na mambo mengine Muswada wa Marekebisho ya Sheria...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati za Bunge kuanza vikao leo

VIKAO vya Bunge vya Kamati za Kudumu vinatarajiwa kuanza jijini Dar es Salaam leo ambapo masuala mbalimbali yatajadiliwa na kamati hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Bunge hilo, Thomas Kashililah, wabunge wote wa Bunge hilo wameagizwa kuhudhuria vikao hivyo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa Zitto Kabwe akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakati kamati hiyo ilipokaa kuapanga ratiba ya Mkutano wa Bunge kwenye ofisindogo za bunge jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 22, 2015. Kikao cha bunge kinatarajiwa kuanza Januari 27, 2015Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kamati Uongozi leoMwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Rajabu Mbarouk akieleza jambo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Uongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani