Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAREHE 11 JULAI CCM KUMTANGAZA MGOMBEA WAKE MJINI DODOMA


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti mjini Dodoma.(Picha na Adam Mzee)…………………………………………………………………………
“Leo tarehe 7 mwezi wa saba tunaanza vikao vya mchakato wa mkutano mkuu wa taifa wa CCM ambao unnategemewa pamoja na mambo mengine utapitisha ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-20 20 lakini pia utateua mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia CCM, na pia kutakuwa na kikao cha halmashauri kuu ambacho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM YATANGAZA TAREHE ZA VIKAO VYAKE VIKUBWA VITAKAVYOFANYIKA MJINI DODOMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.=========  ========  ======= Na Chaalila...

 

10 years ago

Habarileo

Mgombea Urais CCM Julai 12

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.MGOMBEA Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atajulikana Julai 12 mwaka huu baada ya kukamilisha mchakato mzima wa kuomba kuwania nafasi hiyo, kutafuta wadhamini na kujadiliwa katika chama hicho.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA DODOMA MJINI KUPITIA CCM ANTHON MAVUNDE AMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI HIYO

  Mgombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi [CCM] Jimbo la Dodoma Mjini  Anthon Mavunde akipokea Fomu za kugombea nafasi hiyo Toka kwa Afsa Uchaguzi Manispaa ya Dodoma Elizabert Gumbo jana mjini Humo.Picha na John Banda
  Mavunde akionyesha Fomu hizo baada ya kuzichukua katika ofisi za manispaa jana. Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini kupitia CCM Anthon Mavunde akiwapungia watu Mikono juu ya Gari wakati alipokuwa akienda kuchukua Fomu za kugombea nafasi hiyo. Baadhi ya wafuasi wa Chadema...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge wa Chadema Dodoma mjini apata dhamana

Ulinzi mkali leo umewekwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Dodoma ili kuzuia wafuasi wa Chadema waliokwenda kusikiliza kesi inayomkabili mgombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini Benson Kigaila na kusababisha lango la kuingilia lifungwe.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO MJINI DODOMA

 Mgombea mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akihutubia wananchi  kwenye mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe mkoani Dodoma. Wakazi wa Dodoma wakimsikiliza mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa akizungumza katika mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe.
 Waendesha Bodaboda wakimsindikiza mgombea mwenza wa urais, Juma Duni Haji wakati alipomaliza kuhutubia wakazi wa Dodoma katika Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe.

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA KATIKA UBORA WAKE, MJINI DODOMA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akinadi sera zake kwa umati wa wakazi wa Mji wa Dodoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini humo leo Septemba 11, 2015, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, DODOMAMgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani