Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE ALIVYOWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA CCM NA KULIHUTUBIA BUNGE

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye uwanja cha ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili mjini Dodoma tayari kwa kuongoza Vikao vya CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya CCM. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kushoto ni Makamu wa CCm Bara Ndugu Philip Mangula. Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dodoma wakimvika skafu na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili...

 

11 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atoa Uraia kwa Wakimbizi wa Burundi- Aongoza Vikao vya CCM Dodoma

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa hati ya Uraia wa Tanzania Bi.Bizimana Nyakiki Naluka mmoja wa kati ya wakimbizi 162000 kutoka Burundi waliopatiwa uraia wa Tanzania jana katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Tabora jana. Baadhi ya Wakimbizi 162000  kutoka Burundi walipatiwa uraia wa Tanzania jana mjini Tabora. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wakimbizi 162000 kutoka Burundi waliopatiwa hati za uraia wa Tanzania katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Tabora...

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Rais Kikwete Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba,Mjini Dodoma Leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni,Kulia ni Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein na Katikati ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Jakaya Kikwete kulihutubia Bunge Julai 9

Dodoma. Rais Jakaya Kikwete atalihutubia Bunge la 10 mjini Dodoma kati ya Julai 9 au 10 kulingana na ratiba yake.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili Burundi kulihutubia Bunge la EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya  Jumatano, Machi 18, 2015 amewasili nchini Burundi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini humo. Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa mji mkuu wa Burundi wa Bujumbura, Rais Kikwete amepokelewa na Rais wa Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunzinza na pamoja na mamia kwa mamia ya wananchi wa Burundi. Rais Kikwete ambaye amewasili Burundi akitokea Dodoma ambako alikuwa katika ziara ya kikazi pia leo Machi 19, 2015,...

 

11 years ago

GPL

HOTUBA YA RAIS KIKWETE WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni. Mheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba; Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa… ...

 

10 years ago

Michuzi

Nape azungumzia sababu za kuchelewa kwa Vikao vya CCM, Mjini Dodoma

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye, akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo asubuhi Julai 10, 2015. 
Nape amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo yatapelekwa mbele ya Mkutano Mkuu utakaofanyika Jumamosi Julai 11, 2015. 
Nape amesema vikao vyote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani