Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete awasili Burundi kulihutubia Bunge la EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jioni ya  Jumatano, Machi 18, 2015 amewasili nchini Burundi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini humo. Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa mji mkuu wa Burundi wa Bujumbura, Rais Kikwete amepokelewa na Rais wa Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunzinza na pamoja na mamia kwa mamia ya wananchi wa Burundi. Rais Kikwete ambaye amewasili Burundi akitokea Dodoma ambako alikuwa katika ziara ya kikazi pia leo Machi 19, 2015,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rais Jakaya Kikwete kulihutubia Bunge Julai 9

Dodoma. Rais Jakaya Kikwete atalihutubia Bunge la 10 mjini Dodoma kati ya Julai 9 au 10 kulingana na ratiba yake.

 

11 years ago

GPL

HOTUBA YA RAIS KIKWETE WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni. Mheshimiwa Samuel Sitta, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba; Mheshimiwa Dkt. Mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi; Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa… ...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIVYOWASILI DODOMA KUONGOZA VIKAO VYA CCM NA KULIHUTUBIA BUNGE

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye uwanja cha ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama jana.  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Rais Kikwete Wakati Wa Kulihutubia Bunge Maalumu La Katiba,Mjini Dodoma Leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia na kuzindua Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo jioni,Kulia ni Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein na Katikati ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi awa Rais wa kwanza wa Msumbiji kulihutubia Bunge la Tanzania

 

 Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongozana na wenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda.

8
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.

Na Immaculate Makilika na Lydia Churi  – MAELEZO, DODOMA.

Rais  wa Jamhuri ya  Msumbiji  Mheshimiwa  Felipe Nyusi  amelihutubia Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 20, 2014, amewasili mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambako miongoni mwa mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi na atahutubia Bunge Maalum la Katiba kesho, Ijumaa, Machi 21, 2014. Muda mfupi baada ya kuwa amewasili na kulakiwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kwenye Uwanja wa Ndege...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Mkutano wa Pili wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa EAC kuhusu Burundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa kwanza kulia) kwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven (wa pili kulia), Rais wa Afrika Kusini, Mhe Jacob Zuma (wa tatu kutoka kulia), Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Mhe. Alain Nyamitwe (wa tatu kushoto) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Richard Sezibera (wa pili kushoto), wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani