Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema Mbeya walalamikia uteuzi wabunge viti maalumu

Uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kupitia Chadema umezua taharuki mkoani hapa na Kanda ya Nyanda za Juu kwa ujumla baada ya wanachama na viongozi wa chama hicho kuanza kulalamikia wakidai umetumika upendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

BAWACHA wapinga uteuzi wa Zubeda Sakuru viti maalumu

Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Mkoa wa Ruvuma wamepinga uteuzi wa Zubeda Hassan Sakuru kuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoani humo.

Baraza hilo limemuomba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kubatilisha uteuzi alioufanya wa mtu ambaye anatokea mkoani Tanga.

Wanachama wa BAWACHA Baraza la Wanawake wa CHADEMA Mkoa wa Ruvuma wametoa Tamko la pamoja, wapo tayari kutoka CHADEMA endapo uteuzi huo hautabatilishwa.

Wamesema Zubeda Hassan Sakuru siyo mkaazi wa Mkoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge viti maalumu badilikeni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mgawanyo wa idadi ya wabunge wa viti maalumu kwa vyama vya CCM ambacho kimepata viti 64, kikifuatiwa na Chadema chenye viti 36 na CUF viti 10.

 

9 years ago

Habarileo

Hatujachakachua majina ya wabunge viti maalumu -NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema majina ya wabunge wa Viti Maalumu iliyoyapitisha hayajachakachuliwa bali yamepitishwa kulingana na orodha ya vyama vya siasa vilivyowasilisha majina hayo.

 

10 years ago

TheCitizen

Wabunge watano wa viti maalumu wasaka majimbo

Dar es Salaam. Joto la harakati za kuwania ubunge, linazidi kupanda, baada ya wabunge kadhaa wa viti maalumu wa kambi ya upinzani na chama tawala CCM, kujipanga kutetea nafasi zao za ubunge kupitia majimbo.

 

9 years ago

StarTV

NEC yatangaza idadi ya uteuzi wa viti maalumuCCM, CHADEMA, CUF

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza idadi ya jumla ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kutoka vyama vya siasa vya CCM, CHADEMA na CUF. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Ibara ya 66 kifungu cha kwanza b na ibara ya 78 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 86 A cha sheria ya uchaguzi sura ya 343, Tume imepewa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chakua nao walalamikia uteuzi wa JK

CHAMA cha Kutetea Abiria (CHAKUA) kimeungana na baadhi ya taasisi za kidini katika kupinga uteuzi uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kwa kuzibagua taasisi...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Felister Bura amependekeza Katiba inayotungwa ifute Ubunge wa Viti Maalumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani