BAWACHA wapinga uteuzi wa Zubeda Sakuru viti maalumu
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Mkoa wa Ruvuma wamepinga uteuzi wa Zubeda Hassan Sakuru kuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoani humo.
Baraza hilo limemuomba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kubatilisha uteuzi alioufanya wa mtu ambaye anatokea mkoani Tanga.
Wanachama wa BAWACHA Baraza la Wanawake wa CHADEMA Mkoa wa Ruvuma wametoa Tamko la pamoja, wapo tayari kutoka CHADEMA endapo uteuzi huo hautabatilishwa.
Wamesema Zubeda Hassan Sakuru siyo mkaazi wa Mkoa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV16 Nov
BAWACHA Kigoma wapinga majina yaliyoteuliwa Ubunge viti maalumu
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Kigoma mjini wamelalamikia hatua ya kuondolewa kwa Merry Martin katika majina yaliyoteuliwa na Baraza hilo kuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa kigoma wakidai kuwepo maslahi ya watu wachache.
Wajumbe hao wamewatuhumu baadhi ya watendaji wa chama hicho ngazi ya Taifa kupindisha maamuzi ya BAWACHA kwa kuwasilisha mbele ya Tume ya Taifa ya uchaguzi jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kigoma...
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Chadema Mbeya walalamikia uteuzi wabunge viti maalumu
9 years ago
StarTV16 Nov
 BAWACHA Zanzibar wataka marekebisho Ugawaji wa viti maalum
Baraza kuu la wanawake wa CHADEMA Zanzibar latishia kuzishusha bendera zote za chama hicho endapo ugawaji wa viti maalum hautarekebishwa kwa upande wa Zanzibar kwa kile wanachodai kuwa ugawaji haukufuata misingi ya katiba na uwiano.
Makamu mwenyekiti wa baraza hilo Taifa Hamida Abdalla amesema wanachama wa CHADEMA Zanzibar wanashangazwa na hatua za viongozi wao katika uteuzi wa wabunge ambao wanadai hawakubaliani nao.
Wakizungumza na wanahabari visiwani Zanzibar wakiongozwa na makamu...
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Jata na ZJA wapinga uteuzi wachezaji judo
9 years ago
GPL11 years ago
Mwananchi01 Apr
‘Ubunge wa Viti Maalumu ufutwe’
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Wabunge viti maalumu badilikeni
9 years ago
StarTV07 Nov
NEC yatangaza idadi ya uteuzi wa viti maalumuCCM, CHADEMA, CUF
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza idadi ya jumla ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kutoka vyama vya siasa vya CCM, CHADEMA na CUF. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Ibara ya 66 kifungu cha kwanza b na ibara ya 78 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 86 A cha sheria ya uchaguzi sura ya 343, Tume imepewa...
9 years ago
Mwananchi08 Nov
47 watoswa viti maalumu CCM, Ukawa