Jata na ZJA wapinga uteuzi wachezaji judo
Dar es Salaam. Kamati ya Ufundi ya Chama cha Judo visiwani Zanzibar (ZJA) na ile ya Tanzania Bara (JATA) zimeingia katika mgogoro juu ya uteuzi wa mchezaji anayedaiwa kuwa na miaka 45, kwa ajili ya kushiriki michezo ya Jumuiya ya Madola.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV11 Nov
BAWACHA wapinga uteuzi wa Zubeda Sakuru viti maalumu
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA Mkoa wa Ruvuma wamepinga uteuzi wa Zubeda Hassan Sakuru kuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoani humo.
Baraza hilo limemuomba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kubatilisha uteuzi alioufanya wa mtu ambaye anatokea mkoani Tanga.
Wanachama wa BAWACHA Baraza la Wanawake wa CHADEMA Mkoa wa Ruvuma wametoa Tamko la pamoja, wapo tayari kutoka CHADEMA endapo uteuzi huo hautabatilishwa.
Wamesema Zubeda Hassan Sakuru siyo mkaazi wa Mkoa...
10 years ago
Mwananchi27 May
UTEUZI WA WACHEZAJI: Kocha Nooij akumbuka shuka kumekucha...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Judo yaomba mashindano Uturuki
TIMU ya taifa ya judo iliyoweka kambi nchini Uturuki imeliomba Shirikisho la Judo la nchi hiyo kushirikisha wachezaji wake katika mashindano ya kuteua wa kuunda timu ya taifa ya nchi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Nyota wa judo wapata vibali Madola
HATIMAYE nyota watatu wa mchezo wa judo ambao awali waliachwa nchini kutokana na majina yao kukosekana mjini Glasgow, wameondoka jana jioni kwa ndege ya Emirates kuelekea nchini Scotland kushiriki michezo...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76499000/jpg/_76499948_149521834.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzQdFpe-4qm8uaZbncz4sgQO44Edzq4lGiwsHL5J9LbyXR6vRicoFu0XIstBpPp4i7NQ-ncqK8KhnnTCyZU4EBKD/1.jpg?width=650)
MASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA
10 years ago
GPLMICHEZO YA WUSHU, JUDO KUFANYIKA DAR KIMATAIFA 30-31 AGOSTI
9 years ago
MillardAyo30 Dec
TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]
The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...
11 years ago
MichuziMaalim Seif afungua rasmi wa jengo la maalum la mchezo wa Judo, Gombani Chake Chake,Pemba