Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA

Mwenyekiti msaidizi wa UPAM Tanzania, Golandu Yusuph akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Rais wa UPAM Italia,Maurizio Martina, akipunga bendera ya Tanzania.  Kushoto ni Golandu Yusuph.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YAJIANDAA KWENDA ALBANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA

 Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio (kulia), akiwaelekeza jambo wachezaji wa mchezo huo walioko kambini Dar es Salaam jana. Wachezaji sita wa timu hiyo wanatarajia kuondoka Septemba 28 mwaka huu kwenda nchini Albania kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo. Wachezaji hao sita wakiwa wameshika bendera ya timu hiyo. Kulia ni  Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

5 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate yaanza mazoezi kujiandaa na mashindano ya dunia Japan

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imeanza Tena mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate huko Japani Mwaka ujao.    
Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi octoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na Tahadhari ya Virusi vya Corona. Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama..  Tumezungumza Jerome...

 

5 years ago

Michuzi

TIMU YA KARATE YAANZA MAZOEZI YAKE KUJIANDAA NA MASHINDANO YA DUNIA 2021

Na Zainab Nyamka

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imeanza mazoezi yake kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate huko Japani Mwaka ujao.

Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi Oktoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na tahadhari ya Virusi vya Corona.

Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.

Na Rose Masaka-MAELEZO Umoja wa Wapiganaji wa Sanaa ya Mapigano Duniani (UPAM) unaandaa shindano la kimataifa la wapiganaji ambalo linatarajiwa kufanyika nchini kati ya Mwezi Desemba mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao kutokana na ruhusa itakayotolewa na Serikali kwa mamlaka zinazohusika. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais wa UPAM Prof. Maurizi Mardina alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Profesa Mardina amesema kuwa mchezo wa kupigana ni mchezo mzuri ambao unahitaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Judo yaomba mashindano Uturuki

TIMU ya taifa ya judo iliyoweka kambi nchini Uturuki imeliomba Shirikisho la Judo la nchi hiyo kushirikisha wachezaji wake katika mashindano ya kuteua wa kuunda timu ya taifa ya nchi...

 

10 years ago

Michuzi

Ma-sensei watano waliotunukiwa ngazi za juu za karate watoa shukurani kwa Shirikisho la Karate Tanzania

 Walimu  (ma-Sensei) watano toka Tanzania, yaani Sensei Dudley Mawalla, Sensei Daud Magoma, Sensei Kheri Kivuli, Sensei Edgar Kaliboti na Sensei Rumadha Fundi, wanatoa shukrani  nyingi sana kwa  kupewa dhamana kubwa ya heshima na vyeo vya ngazi za juu toka shirikisho la Karate Tanzania (Tanzania Karate-Do Federation).  Chini ya uongozi wa mwenyekiti Sensei Geofrey Kalonga na katibu mkuu wake Sensei Phillip Chikoko, wana-sema ma-Sensei hao katika waraka ulioandikwa na Sensei Rumadha...

 

10 years ago

Michuzi

MWEYEKITI WA CHUO CHA KARATE NCHINI TANZANIA AOMBA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA MCHEZO WA KARATE

 Mwenyekiti wa Chuo cha Karate nchini Tanzania,Willy Ringo ameyataka mashirika na makampuni nchini kuunga mkono mchezo wa Karate ili kufika mbali zaidi ulimweguni.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,Rwezaula ameitaka Serikali pamoja na Makampuni yeyote  kuusaidia mchezo huo wa Karate,pia ameitaka Serikali kuacha kudhamini michezo mingine kama mpira wa miguu na mashindano ya urembo.
Kwa upande wake, Bingwa wa Dunia katika mchezo wa Karate, Rutashobya Ringo amewataka Watanzania kuwa na nidhamu...

 

10 years ago

GPL

MICHEZO YA WUSHU, JUDO KUFANYIKA DAR KIMATAIFA 30-31 AGOSTI

   Rais wa Tanzania Wushu Association  (TWA) Mwaram Mitete (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa  utamaduni wa China, Liu Dong, na mwenyekiti wa wafanyabiashara wa watu wa China, Jonson Huang.
   Wadau wa Wushu, kutoka kulia ni  Jonson Huang, Liu Dong, Mwaram Mitete, Katibu Mkuu wa TWA, Gola Kapipi na Makamu wa Rais wa TWA, Kawina Konde.…
...

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama yaruhusu Mashindano ya Miss Tanzania kufanyika kama yalivyopangwa



Na Mwene Said,Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam, jana iliamuru mashindano ya urembo Tanzania yaliyopangwa kufanyika Oktoba 11, mwaka huu kuendelea baada ya kutupilia mbali maombi ya dharura yaliyowasilishwa na Prashant Patel dhidi ya Hashimu Lundenga ya kuzuia kuendelea kuendesha kinyang'anyiro hicho kwa madai ya kukiuka mkataba wa makubaliano yao.
Kadhalika mahakama hiyo imesema maombi ya hati ya dharura yaliyowasilishwa na Patel hayana mashiko ya kisheria na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani