Ma-sensei watano waliotunukiwa ngazi za juu za karate watoa shukurani kwa Shirikisho la Karate Tanzania
Walimu (ma-Sensei) watano toka Tanzania, yaani Sensei Dudley Mawalla, Sensei Daud Magoma, Sensei Kheri Kivuli, Sensei Edgar Kaliboti na Sensei Rumadha Fundi, wanatoa shukrani nyingi sana kwa kupewa dhamana kubwa ya heshima na vyeo vya ngazi za juu toka shirikisho la Karate Tanzania (Tanzania Karate-Do Federation). Chini ya uongozi wa mwenyekiti Sensei Geofrey Kalonga na katibu mkuu wake Sensei Phillip Chikoko, wana-sema ma-Sensei hao katika waraka ulioandikwa na Sensei Rumadha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMWEYEKITI WA CHUO CHA KARATE NCHINI TANZANIA AOMBA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA MCHEZO WA KARATE
Akizungumza jijini Dar es Salaam,Rwezaula ameitaka Serikali pamoja na Makampuni yeyote kuusaidia mchezo huo wa Karate,pia ameitaka Serikali kuacha kudhamini michezo mingine kama mpira wa miguu na mashindano ya urembo.
Kwa upande wake, Bingwa wa Dunia katika mchezo wa Karate, Rutashobya Ringo amewataka Watanzania kuwa na nidhamu...
10 years ago
VijimamboSENSEI MAGOMA N. SANYA MWALIMU WA KARATE
Sensei Magoma N. Sarya ni ndiye aliyekuwa gwiji wa Karate na kiungo muhimu kwa sensei N. C. Bomani katika kuendeleza mwenendo wa Sanaa ya Karate nchini Tanzania. Sensei Magoma (Daud) amefundisha wanafunzi wengi wa Karate nchini Tanzania Zaidi ya mwalimu yeyote hapa nchini. Amekuwa mwafunzi kiongozi mwenye mamlaka ya kusimamia Zanaki dojo na matawi yake Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1982.
Sensei Magoma ni mmoja kati ya wanafunzi wa tano nchini kupata shahada ya kwanza “Shodan”...
10 years ago
Vijimambo31 Jan
MWALIMU WA KARATE NA YOGA SENSEI RUMADHA FUNDI KATIKA WARM UP !
11 years ago
MichuziSensei Rumadha Fundi katika Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR
10 years ago
MichuziSENSEI RUMADHA FUNDI AZURU OKINAWA KWENYE CHIMBUKO LA GOJU RYU KARATE, ATUNIKIWA DAN YA 3
9 years ago
MichuziSensei Rumadha Fundi aalikwa kushiriki semina ya Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu huko Leeds, Uingereza
Mwakilishi wa Jundokan So Honbu Tanzania, sensei Fundi, 3rd Dan (pichani chini), mwenye makaazi yake Marekani, amealikwa kushiriki moja ya semina ( Gasshuku) ya Karate mtindo wa Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu.
Semina hii itafanyika nji wa Leeds, Uingereza, kuanzia tarehe 16 hadi 18 Oktoba, 2015. Wakuu wa Jundokan toka visiwa vya Okinawa wakiwemo; Sensei Yoshihiro Miyazato, Kancho ambae ni mtoto wa mwanzilishi wa Jundokan dojo mwaka 1957 master Eiichi Miyazato ( aliyekuwa...
9 years ago
MichuziMWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA SENSEI RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA
10 years ago
VijimamboTanzania Karate-Do Federation (TKF).
shukrani za kupewa dhamana kubwa ya heshima na vyeo vya ngazi za juu toka shirikisho la Karate Tanzania (Tanzania Karate-Do Federation).
Chini ya uongozi wa mwenyekiti Sensei Geofrey Kalonga na katibu mkuu wake Sensei Phillip Chikoko, hatuna budi kuitikia wito wa kuchangia maendeleo ya sanaa ya Karate inayohitaji nidhamu...
11 years ago
MichuziTanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.