Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sensei Rumadha Fundi aalikwa kushiriki semina ya Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu huko Leeds, Uingereza


 Mwakilishi wa Jundokan So Honbu Tanzania, sensei Fundi, 3rd Dan (pichani chini), mwenye makaazi yake Marekani, amealikwa kushiriki moja ya semina ( Gasshuku) ya Karate mtindo wa Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu. 
Semina hii itafanyika nji wa Leeds, Uingereza, kuanzia tarehe 16 hadi 18 Oktoba, 2015. Wakuu wa Jundokan toka visiwa vya Okinawa wakiwemo; Sensei Yoshihiro Miyazato, Kancho ambae ni mtoto wa mwanzilishi wa Jundokan dojo mwaka 1957 master Eiichi Miyazato ( aliyekuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SENSEI RUMADHA FUNDI AZURU OKINAWA KWENYE CHIMBUKO LA GOJU RYU KARATE, ATUNIKIWA DAN YA 3

Sensei Yoshiro Miyazato, Kancho Mwenyekiti wa Okinawa Goju Ryu Jundokan So Honbu akimkabidhi cheti cha Dan ya 3 Sensei Rumadha Fundi mjini Naha, Okinawa, hivi karibuni. Sensei Rumadha sasa anashikilia Dan 3 kutoka vyama viwili vya karate – ikiwa ni Dan 3 kutoka Okinawa Goju Ryu Karate na Dan 6 kutoka Tanzania Karate do Federation.

Sensei Rumadha akiwa Jundo Kan Dojo, chimbuko la Goju Ryu Karate duniani, lililoko Naha, Okinawa.

Mke wa Kancho Miyazato akimfundisha mtoto wa Sensei Rumadha, Iman,...

 

9 years ago

Michuzi

GOJU RYU KARATE-DO JUNDOKAN SEMINA UINGEREZA IMEFANA SANA!!



 SenSei Rumadha Fundi, amesimama mbele ya bendera ya Tanzania. Wakicheza Kata ya kundi kwa pamoja "Shisochin Kata"Wakuu matawi nchi shiriki.Kundi la wawakilishi sita wa nchi za Ulaya.
 Gasshuku au semina ya Karate mtindo wa Okinawa Goju RyuJundokan So Honbu, imefungwa Jumapili usiku na kufuatiwa kwa tafrija kubwa ya kuwaaga washiriki "Sayonara Party" wa kike na kiume, umri kuanzia miaka 13 had 70 toka nchi mbalimbali za Ulaya na Japan ikiwemo na Tanzania iliyowakilishwa na sensei Rumadha....

 

10 years ago

Vijimambo

MWALIMU WA KARATE NA YOGA SENSEI RUMADHA FUNDI KATIKA WARM UP !

Mwalimu wa michezo ya Karate na Yoga anayetambuliwa na shirikisho la kimataifa la michezo hiyo mtanzania Sensei Rumadha Fundi mwenye Black Belt na Dan 6 toka Tanzania Karate Federation( TKF), na Dan 3 toka Okinawa Goju Ryu,Japani,Sensei Rumadha Fundi ambaye makao yake yapo kule Auston,Marekani akiwa anaupasha moto mwili (warm up ) katika mazoezi yajulikanayo kama "Double Shotei Tsuki" practice.(onyo tafadhali usijaribu kuiga au kufindisha maozezi haya mtaani au popote bila ya kuwa na utaalamu)

 

11 years ago

Michuzi

Sensei Rumadha Fundi katika Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR

Sensei Rumadha Fundi, akiwa katika "Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR " iliyofanyika Jumamosi Juni 21,2014 katika ukumbi wa University of St. Thomas, Houston, Texas chini ya Master Sensei Masataka Muramatsu Dan 8 ( Hanshi), master Tatsuo Takegawa Dan 7 ( Kyoshi), kutoka Japan na washiriki kutoka Marekani, Mexico na bara la Ulaya chini ya uandalizi wa Sensei Ramon Veras Dan 6 wa Houston, Texas, USA.  Sensei Rumadha Fundi akiwa katika picha ya pamoja na master Muramatsu Sensei...

 

9 years ago

Michuzi

MWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA SENSEI RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA

Na Sensei Rumadha FundiMara nyingi neno”Meditation” au kutafakari huchanganywa  na kufikiri ni kukaa kimya kufumba macho kiufanisi au kuwaza jambo fulani. Pia, wengine huchanganya hili neno na kuwa umekaa kimya na kujaribu kutofikiria lolote, ama pia kuivuta au kuisukuma akili yako na kutoku fikiria kitu cha iana yeyote ile muda wote wa kutafakari na kuamini kwamba hiyo ni “Meditation” au Tafakari. Kamwe, hamna hata moja ya mifano hii inaweza kuifikia maana yake halisi katika mfumo kisayansi...

 

10 years ago

Vijimambo

SENSEI RUMADHA FUNDI AKIFANYA VITU VYAKE !

Mtaalam wa ngazi ya juu wa mchezo karate na Yoga Sensei Rumadha Fundi (Mtanzania) mwenye Black Belt,6 Dan,anayetambulika kimataifa mwenye makao yake nchini Marekani akifanya Vitu vyake..katika kupasha pasha mwili(Tafadhali usiige mchezo huu bila kupata maelekezo ya wataalamu)
tazama video hizo mbili:Bofya soma zaidi uone video ya pili ya Sebsei Rumadha Fundi akifanya vitu vyake

 

10 years ago

Vijimambo

SENSEI RUMADHA FUNDI KATIKA SEMINAR TEXAS BLACK BELTS CLUB - USA

PIA AMEITWA KWENDA OKINAWA, JAPAN KUKABIDHIWA MAMLAKA YA UWAKILISHI MTINDO WA KARATE WA GOJU RYU JUNDONKAN NCHINI TANZANIA


Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan. Sensei...

 

9 years ago

Vijimambo

KARATE SEMINA, LEEDS, ENGLAND.

 Mwakilishi wa Jundokan So Honbu Tanzania, sensei Fundi, 3rd Dan, amearikwa kushiriki moja ya semina ( Gasshuku) ya Karate mtindo wa Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu. Semina hii itafanyika nji wa Leeds, Uingereza, kuanzia tarehe 16 hadi 18 Oktoba, 2015. Wakuu wa Jundokan toka visiwa vya Okinawa wakiwemo; Sensei Yoshihiro Miyazato, Kancho ambae ni mtoto wa mwanzilishi wa Jundokan dojo mwaka 1957 master Eiichi Miyazato ( aliyekuwa mwalimu wa Sensei Bomani toka mwaka 1968), ndie...

 

9 years ago

Vijimambo

MWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA

 Meditation & Mantra
Mara nyingi neno”Meditation” au kutafakari huchanganywa  na kufikiri ni kukaa kimya kufumba macho kiufanisi au kuwaza jambo fulani. Pia, wengine huchanganya hili neno na kuwa umekaa kimya na kujaribu kutofikiria lolote, ama pia kuivuta au kuisukuma akili yako na kutoku fikiria kitu cha iana yeyote ile muda wote wa kutafakari na kuamini kwamba hiyo ni “Meditation” au Tafakari. Kamwe, hamna hata moja ya mifano hii inaweza kuifikia maana yake halisi katika mfumo kisayansi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani