MWALIMU WA KARATE NA YOGA SENSEI RUMADHA FUNDI KATIKA WARM UP !
Mwalimu wa michezo ya Karate na Yoga anayetambuliwa na shirikisho la kimataifa la michezo hiyo mtanzania Sensei Rumadha Fundi mwenye Black Belt na Dan 6 toka Tanzania Karate Federation( TKF), na Dan 3 toka Okinawa Goju Ryu,Japani,Sensei Rumadha Fundi ambaye makao yake yapo kule Auston,Marekani akiwa anaupasha moto mwili (warm up ) katika mazoezi yajulikanayo kama "Double Shotei Tsuki" practice.(onyo tafadhali usijaribu kuiga au kufindisha maozezi haya mtaani au popote bila ya kuwa na utaalamu)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA SENSEI RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA
9 years ago
VijimamboMWALIMU WA YOGA NA KARATE WA KIMATAIFA RUMADHA FUNDI AZICHAMBUA FAIDA ZA YOGA
Mara nyingi neno”Meditation” au kutafakari huchanganywa na kufikiri ni kukaa kimya kufumba macho kiufanisi au kuwaza jambo fulani. Pia, wengine huchanganya hili neno na kuwa umekaa kimya na kujaribu kutofikiria lolote, ama pia kuivuta au kuisukuma akili yako na kutoku fikiria kitu cha iana yeyote ile muda wote wa kutafakari na kuamini kwamba hiyo ni “Meditation” au Tafakari. Kamwe, hamna hata moja ya mifano hii inaweza kuifikia maana yake halisi katika mfumo kisayansi na...
11 years ago
MichuziSensei Rumadha Fundi katika Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR
10 years ago
MichuziSENSEI RUMADHA FUNDI AZURU OKINAWA KWENYE CHIMBUKO LA GOJU RYU KARATE, ATUNIKIWA DAN YA 3
9 years ago
MichuziSensei Rumadha Fundi aalikwa kushiriki semina ya Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu huko Leeds, Uingereza
Mwakilishi wa Jundokan So Honbu Tanzania, sensei Fundi, 3rd Dan (pichani chini), mwenye makaazi yake Marekani, amealikwa kushiriki moja ya semina ( Gasshuku) ya Karate mtindo wa Okinawa Goju Ryu Karate-Do Jundokan So Honbu.
Semina hii itafanyika nji wa Leeds, Uingereza, kuanzia tarehe 16 hadi 18 Oktoba, 2015. Wakuu wa Jundokan toka visiwa vya Okinawa wakiwemo; Sensei Yoshihiro Miyazato, Kancho ambae ni mtoto wa mwanzilishi wa Jundokan dojo mwaka 1957 master Eiichi Miyazato ( aliyekuwa...
10 years ago
Vijimambo22 Apr
SENSEI RUMADHA FUNDI KATIKA SEMINAR TEXAS BLACK BELTS CLUB - USA
Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan. Sensei...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
SENSEI RUMADHA FUNDI AKIFANYA VITU VYAKE !
tazama video hizo mbili:Bofya soma zaidi uone video ya pili ya Sebsei Rumadha Fundi akifanya vitu vyake
10 years ago
VijimamboSENSEI MAGOMA N. SANYA MWALIMU WA KARATE
Sensei Magoma N. Sarya ni ndiye aliyekuwa gwiji wa Karate na kiungo muhimu kwa sensei N. C. Bomani katika kuendeleza mwenendo wa Sanaa ya Karate nchini Tanzania. Sensei Magoma (Daud) amefundisha wanafunzi wengi wa Karate nchini Tanzania Zaidi ya mwalimu yeyote hapa nchini. Amekuwa mwafunzi kiongozi mwenye mamlaka ya kusimamia Zanaki dojo na matawi yake Tanzania tokea mwaka 1976 hadi 1982.
Sensei Magoma ni mmoja kati ya wanafunzi wa tano nchini kupata shahada ya kwanza “Shodan”...
10 years ago
MichuziMa-sensei watano waliotunukiwa ngazi za juu za karate watoa shukurani kwa Shirikisho la Karate Tanzania