Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania Karate-Do Federation (TKF).

Kwa niaba ya walimu ma-(Sensei) watano toka Tanzania, Sensei Dudley Mawalla, Sensei Daud Magoma, Sensei Kheri Kivuli, Sensei Edgar Kaliboti na Sensei Rumadha Fundi, tunatowa
shukrani za kupewa dhamana kubwa ya heshima na vyeo vya ngazi za juu toka shirikisho la Karate Tanzania (Tanzania Karate-Do Federation).
Chini ya uongozi wa mwenyekiti Sensei Geofrey Kalonga na katibu mkuu wake Sensei Phillip Chikoko, hatuna budi kuitikia wito wa kuchangia maendeleo ya sanaa ya Karate inayohitaji nidhamu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Sensei Rumadha Fundi katika Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR

Sensei Rumadha Fundi, akiwa katika "Japan Karate-Do Federation KATA SEMINAR " iliyofanyika Jumamosi Juni 21,2014 katika ukumbi wa University of St. Thomas, Houston, Texas chini ya Master Sensei Masataka Muramatsu Dan 8 ( Hanshi), master Tatsuo Takegawa Dan 7 ( Kyoshi), kutoka Japan na washiriki kutoka Marekani, Mexico na bara la Ulaya chini ya uandalizi wa Sensei Ramon Veras Dan 6 wa Houston, Texas, USA.  Sensei Rumadha Fundi akiwa katika picha ya pamoja na master Muramatsu Sensei...

 

10 years ago

Michuzi

MWEYEKITI WA CHUO CHA KARATE NCHINI TANZANIA AOMBA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA MCHEZO WA KARATE

 Mwenyekiti wa Chuo cha Karate nchini Tanzania,Willy Ringo ameyataka mashirika na makampuni nchini kuunga mkono mchezo wa Karate ili kufika mbali zaidi ulimweguni.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,Rwezaula ameitaka Serikali pamoja na Makampuni yeyote  kuusaidia mchezo huo wa Karate,pia ameitaka Serikali kuacha kudhamini michezo mingine kama mpira wa miguu na mashindano ya urembo.
Kwa upande wake, Bingwa wa Dunia katika mchezo wa Karate, Rutashobya Ringo amewataka Watanzania kuwa na nidhamu...

 

10 years ago

Michuzi

Ma-sensei watano waliotunukiwa ngazi za juu za karate watoa shukurani kwa Shirikisho la Karate Tanzania

 Walimu  (ma-Sensei) watano toka Tanzania, yaani Sensei Dudley Mawalla, Sensei Daud Magoma, Sensei Kheri Kivuli, Sensei Edgar Kaliboti na Sensei Rumadha Fundi, wanatoa shukrani  nyingi sana kwa  kupewa dhamana kubwa ya heshima na vyeo vya ngazi za juu toka shirikisho la Karate Tanzania (Tanzania Karate-Do Federation).  Chini ya uongozi wa mwenyekiti Sensei Geofrey Kalonga na katibu mkuu wake Sensei Phillip Chikoko, wana-sema ma-Sensei hao katika waraka ulioandikwa na Sensei Rumadha...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania: Karate Awards Five (5) Senior Instructors

Tanzania Karate –Do Federation (TKF) secretary general, sensei Phillip Chikoko (right), based in Dar es Salaam, Tanzania and his student Faraja Joseph demonstrate Karate techniques during Mwalimu Julius Nyerere memorial show at National Indoor Stadium in Dar es Salaam on Tuesday. (Photo by Frank Kimaro)


Top from left Sensei Dudley Mawalla founder of Shotokan Karate Tanzania, middle, Sensei Magoma Nyamuko Sarya, right, Sensei Kheri Kivuli, all three are based in Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya karate.

Na Rose Masaka-MAELEZO Umoja wa Wapiganaji wa Sanaa ya Mapigano Duniani (UPAM) unaandaa shindano la kimataifa la wapiganaji ambalo linatarajiwa kufanyika nchini kati ya Mwezi Desemba mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao kutokana na ruhusa itakayotolewa na Serikali kwa mamlaka zinazohusika. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais wa UPAM Prof. Maurizi Mardina alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Profesa Mardina amesema kuwa mchezo wa kupigana ni mchezo mzuri ambao unahitaji...

 

5 years ago

Michuzi

MCHEZO WA KARATE,TANZANIA YAPATA MWALIKO










…………………………………………………………………..

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imepata Nafasi ya kwenda kushiriki katika mashindano ya Dunia ya Karate Japani mwezi October Mwaka huu.

Mashindano hayo ya Karate ya Dunia huwa yanafanyika kila baada ya Miaka 3,na kwa mwaka huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama.

Jerome Muhagama ambaye Pia ni Mkufunzi mkuu wa Karate Tanzania amezungumzia Juu ya nafasi hiyo iliyopata nchi ya...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA

Mwenyekiti msaidizi wa UPAM Tanzania, Golandu Yusuph akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Rais wa UPAM Italia,Maurizio Martina, akipunga bendera ya Tanzania.  Kushoto ni Golandu Yusuph.…

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA KARATE TANZANIA YAJIANDAA KWENDA ALBANIA KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA

 Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio (kulia), akiwaelekeza jambo wachezaji wa mchezo huo walioko kambini Dar es Salaam jana. Wachezaji sita wa timu hiyo wanatarajia kuondoka Septemba 28 mwaka huu kwenda nchini Albania kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo. Wachezaji hao sita wakiwa wameshika bendera ya timu hiyo. Kulia ni  Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

5 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate yaanza mazoezi kujiandaa na mashindano ya dunia Japan

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo wa Karate imeanza Tena mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya Dunia ya Karate huko Japani Mwaka ujao.    
Mashindano hayo ya Karate ya Dunia yalikuwa yafanyike mwezi octoba mwaka huu ,lakini yakaahilishwa kutokana na Tahadhari ya Virusi vya Corona. Michuano hiyo huwa inafanyika kila baada ya Miaka 3,na wakati huu Tanzania pia imepata nafasi ya Kipekee kwa kutoa Jaji wa michuano hiyo ambaye ni (Sensei)Jerome Mhagama..  Tumezungumza Jerome...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani