Mahakama yaruhusu Mashindano ya Miss Tanzania kufanyika kama yalivyopangwa
Na Mwene Said,Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam, jana iliamuru mashindano ya urembo Tanzania yaliyopangwa kufanyika Oktoba 11, mwaka huu kuendelea baada ya kutupilia mbali maombi ya dharura yaliyowasilishwa na Prashant Patel dhidi ya Hashimu Lundenga ya kuzuia kuendelea kuendesha kinyang'anyiro hicho kwa madai ya kukiuka mkataba wa makubaliano yao.
Kadhalika mahakama hiyo imesema maombi ya hati ya dharura yaliyowasilishwa na Patel hayana mashiko ya kisheria na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM06 Oct
MAHAKAMA HUENDA IKAZUIA KUFANYIKA KWA MISS TANZANIA 2014
MWANZILISHI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Prashant Patel, amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akiomba mshirika wake, Hashim Ludenga, azuiliwe kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
Patel amewasilisha maombi hayo katika hati ya dharura kupitia wakili wake, Benjamin Mwakagamba, akidai Lundenga ana mpango wa kuendesha mashindano hayo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, kinyume cha...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
11 years ago
Mtanzania02 Aug
Mahakama yaruhusu ushoga Uganda
![Rais wa Uganda, Yoweri Museveni](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Yoweri-Museveni.jpg)
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
KAMPALA, Uganda
MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, ambayo ilisababisha mataifa kadhaa ya magharibi kuinyima misaada.
Sheria hiyo ilizua mjadala si tu nchini Uganda bali kote duniani, kiasi cha kuyafanya mataifa ya magharibi yalazimike kuingilia kati.
Mahakama ilisema muswada uliopitishwa kabla ya kuidhinishwa na rais kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kuupitisha na kwa hivyo...
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
10 years ago
StarTV06 May
Mahakama yaruhusu Nkurunziza kuwania urais
Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.
Kulingana na vituo vya redio nchini humo,Jaji wa mahakama hiyo alitoa uamuzi huo mapema leo asubuhi .
Hapo Jana makamu wa mahakama hiyo Jaji Sylvere Nimpagaritse ,alilitoroka taifa hilo akidai kuwa walikuwa wakishinikizwa kutoa uamuzi utakaompendelea rais Nkurunziza.
Rwanda imethibitisha kuwa jaji huyo yuko mjini Kigali.
BBC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzQdFpe-4qm8uaZbncz4sgQO44Edzq4lGiwsHL5J9LbyXR6vRicoFu0XIstBpPp4i7NQ-ncqK8KhnnTCyZU4EBKD/1.jpg?width=650)
MASHINDANO YA DUNIA YA JUDO, KARATE KUFANYIKA TANZANIA
10 years ago
BBCSwahili28 Dec
Mashindano ya Miss Tanzania yafungwa
10 years ago
CloudsFM09 Oct
MISS TANZANIA YARUHUSIWA KUENDELEA MASHINDANO
Baada ya ubishi wa kisheria mahakamani, sasa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania mwaka 2014 yatafanyika Jumamosi kama ilivyopangwa na mshindi atazawadiwa Sh18 milioni.
Lino International Agency ambao ndio waandaaji wa mashindano hayo kupitia mkurugenzi wake, Hashim Lundenga walieleza jana kuwa wameshinda pingamizi la kukataa zuio la mashindano hayo kufanyika na Ukumbi wa Mlimani City utawaka moto Jumamosi ambako mshindi wa pili ataondoka na kitita cha Sh6 milioni na yule wa tatu...
10 years ago
GPLMISS TANZANIA 2013 KUSHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA DESEMBA