Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA HUENDA IKAZUIA KUFANYIKA KWA MISS TANZANIA 2014

MWANZILISHI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Prashant Patel, amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akiomba mshirika wake, Hashim Ludenga, azuiliwe kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
Patel amewasilisha maombi hayo katika hati ya dharura kupitia wakili wake, Benjamin Mwakagamba, akidai Lundenga ana mpango wa kuendesha mashindano hayo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, kinyume cha...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mahakama yaruhusu Mashindano ya Miss Tanzania kufanyika kama yalivyopangwa



Na Mwene Said,Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam, jana iliamuru mashindano ya urembo Tanzania yaliyopangwa kufanyika Oktoba 11, mwaka huu kuendelea baada ya kutupilia mbali maombi ya dharura yaliyowasilishwa na Prashant Patel dhidi ya Hashimu Lundenga ya kuzuia kuendelea kuendesha kinyang'anyiro hicho kwa madai ya kukiuka mkataba wa makubaliano yao.
Kadhalika mahakama hiyo imesema maombi ya hati ya dharura yaliyowasilishwa na Patel hayana mashiko ya kisheria na...

 

10 years ago

Michuzi

Redd's Miss Tanzania 2014 kufanyika Mlimani City jumamosi hii

Mkurugenzi wa Kampuni ya Rino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo,juu ya onyesho la Redd's Miss Tanzania 2014 linalotarajiwa kufanyika Oktoba 11,2014 katika Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano hayo,Victoria Kimaro na kushoto ni Meneja Maria Stopes Tanzania,Anna Shanalingigwa.Picha zote na...

 

10 years ago

GPL

REDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, juu ya onyesho la Redd's Miss Tanzania 2014 linalotarajiwa kufanyika Oktoba 11, 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano hayo, Victoria Kimaro na kushoto ni...

 

11 years ago

GPL

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!‏

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM ...

 

11 years ago

GPL

MISS MANYARA 2014 KUFANYIKA KESHO

 Warembo wanaogombania Miss Manyara 2014 Warembo wanaogombania Miss Manyara 2014 wakiwa wanacheza mmoja ya wimbo watakaoucheza katika siku ya mashindano ikiwa ni moja ya sehemu ya mazoezi.
Kinyanganyiro cha…

 

10 years ago

GPL

FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22

Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo. Warembo…

 

11 years ago

Michuzi

MISS KIBAHA KUFANYIKA LEOM MEI 30, 2014

Na John Gagarini, Kibaha   JUMLA ya warembo wanane wanatarajiwa kuchuana kwenye shindano la kumtafuta mrembo wa wilaya ya Kibaha mkoani Pwani shindano linalotarajiwa kufanyika leo Mei 30 mwaka huu kwenye ukumbi wa Container Bar Maili Moja Kibaha.   Akizungumza na waandishi wa habari mjini Kibaha mratibu wa shindano hilo Teddy Chilala alisema kuwa maandalizi ya kufanyika shindano hilo yanaendelea vizuri na kinachosubiriwa ni siku ya shindano hilo.   Chilala alisema kuwa warembo hao nane ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani