MISS KIBAHA KUFANYIKA LEOM MEI 30, 2014
Na John Gagarini, Kibaha JUMLA ya warembo wanane wanatarajiwa kuchuana kwenye shindano la kumtafuta mrembo wa wilaya ya Kibaha mkoani Pwani shindano linalotarajiwa kufanyika leo Mei 30 mwaka huu kwenye ukumbi wa Container Bar Maili Moja Kibaha. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Kibaha mratibu wa shindano hilo Teddy Chilala alisema kuwa maandalizi ya kufanyika shindano hilo yanaendelea vizuri na kinachosubiriwa ni siku ya shindano hilo. Chilala alisema kuwa warembo hao nane ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMISS DAR CITY CENTER KUFANYIKA MEI 24
SHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15.
Akizungumza katika uzinduzi huo jana, mratibu wa shindano hilo, Judith Charles alisema kuwa, mwaka huu shindano hilo litambapwa na vionjo tofauti tofauti ili kulifanya kuwa la aina yake.
Judith alisema kwamba, wameangalia changamoto zilizotokea kwa waandaaji wa waliopita wa shindano hilo,...
11 years ago
Dewji Blog05 May
Miss Dar City Centre kufanyika Mei 24
![Untitled 2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/Untitled-21.jpg)
Na Father Kidevu Blog
SHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15.
Akizungumza katika uzinduzi huo jana, mratibu wa shindano hilo, Judith Charles alisema kuwa, mwaka huu shindano hilo litambapwa na vionjo tofauti tofauti ili kulifanya kuwa la aina yake.
Judith alisema kwamba, wameangalia changamoto zilizotokea kwa waandaaji wa waliopita wa shindano hilo, ili...
11 years ago
Michuzi09 May
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-Gfj5qHcKzV4/U5q46x-WPOI/AAAAAAAFqS0/O0R6zwv2bHo/s1600/unnamed+%2878%29.jpg)
MISS MANYARA 2014 KUFANYIKA KESHO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzepA0Xrp1npx820Z71lTD7d0AYZrGTaBSHzaaOa8Ybu0F8uEwpnslHPdxr0oAeFw6PBGrW*fW-G5fWYkT1sIs02/miss.jpg?width=650)
FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22
10 years ago
CloudsFM06 Oct
MAHAKAMA HUENDA IKAZUIA KUFANYIKA KWA MISS TANZANIA 2014
MWANZILISHI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Prashant Patel, amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akiomba mshirika wake, Hashim Ludenga, azuiliwe kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.
Patel amewasilisha maombi hayo katika hati ya dharura kupitia wakili wake, Benjamin Mwakagamba, akidai Lundenga ana mpango wa kuendesha mashindano hayo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, kinyume cha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-W4ROvDUMhys/VDUXol10V1I/AAAAAAAGooM/KRsqWl6gHMo/s72-c/11.jpg)
Redd's Miss Tanzania 2014 kufanyika Mlimani City jumamosi hii
![](http://3.bp.blogspot.com/-W4ROvDUMhys/VDUXol10V1I/AAAAAAAGooM/KRsqWl6gHMo/s1600/11.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gfj5qHcKzV4/U5q46x-WPOI/AAAAAAAFqS0/O0R6zwv2bHo/s72-c/unnamed+(78).jpg)
MISS MANYARA 2014 KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA CCM MJINI BABATI
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-y5kqHKXBwOQ/VDUXvintxJI/AAAAAAAGoog/pxhH-LgfOeM/s640/9.jpg)
REDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII