Mahakama yaruhusu ushoga Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
KAMPALA, Uganda
MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, ambayo ilisababisha mataifa kadhaa ya magharibi kuinyima misaada.
Sheria hiyo ilizua mjadala si tu nchini Uganda bali kote duniani, kiasi cha kuyafanya mataifa ya magharibi yalazimike kuingilia kati.
Mahakama ilisema muswada uliopitishwa kabla ya kuidhinishwa na rais kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kuupitisha na kwa hivyo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo501 Aug
Mahakama ya kikatiba Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga
10 years ago
StarTV06 May
Mahakama yaruhusu Nkurunziza kuwania urais
Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.
Kulingana na vituo vya redio nchini humo,Jaji wa mahakama hiyo alitoa uamuzi huo mapema leo asubuhi .
Hapo Jana makamu wa mahakama hiyo Jaji Sylvere Nimpagaritse ,alilitoroka taifa hilo akidai kuwa walikuwa wakishinikizwa kutoa uamuzi utakaompendelea rais Nkurunziza.
Rwanda imethibitisha kuwa jaji huyo yuko mjini Kigali.
BBC
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Mahakama yaruhusu Mkenya kufikishwa ICC
10 years ago
Michuzi08 Oct
Mahakama yaruhusu Mashindano ya Miss Tanzania kufanyika kama yalivyopangwa
Na Mwene Said,Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam, jana iliamuru mashindano ya urembo Tanzania yaliyopangwa kufanyika Oktoba 11, mwaka huu kuendelea baada ya kutupilia mbali maombi ya dharura yaliyowasilishwa na Prashant Patel dhidi ya Hashimu Lundenga ya kuzuia kuendelea kuendesha kinyang'anyiro hicho kwa madai ya kukiuka mkataba wa makubaliano yao.
Kadhalika mahakama hiyo imesema maombi ya hati ya dharura yaliyowasilishwa na Patel hayana mashiko ya kisheria na...
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Ushoga:Tetesi za sheria mpya Uganda
11 years ago
Mwananchi11 Jul
UTEKELEZAJI: Uganda bado ‘ngangari’ dhidi ya ushoga
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RNAeHv9DUsA/U8bi-1P6_rI/AAAAAAAF27I/cO_-a36jhtQ/s72-c/unnamed+(5).jpg)
UJUMBE WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA YA UGANDA WATEMBELEA TUME YA UTUMISHI YA MAHAKAMA YA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-RNAeHv9DUsA/U8bi-1P6_rI/AAAAAAAF27I/cO_-a36jhtQ/s1600/unnamed+(5).jpg)
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Korti yaruhusu Yona, Mramba kutibiwa