Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTEKELEZAJI: Uganda bado ‘ngangari’ dhidi ya ushoga

>Serikali imesema kuwa sheria mpya inayopiga marufuku vitendo vya ushoga ambayo inalalamikiwa vikali na baadhi ya makundi ya wanaharakati, haina makosa yoyote na kwamba wale wanaoendelea kuikosoa watakuwa na ajenda yao ya siri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga

Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada.

 

11 years ago

Bongo5

Mahakama ya kikatiba Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga

Baada ya Rais Uganda Yoweri Kaguta Museven kuasaini sheria kali dhidi ya watu wanaojihusisha na ushoga, mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada. Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika kuingilia […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Bado tuko ngangari uongozini - Libya

Serikali ya Libya imesisitiza kuwa bado imedhibiti uongozi wa nchi licha ya shambulio bungeni

 

11 years ago

Mtanzania

Mahakama yaruhusu ushoga Uganda

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni

KAMPALA, Uganda

MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, ambayo ilisababisha mataifa kadhaa ya magharibi kuinyima misaada.

Sheria hiyo ilizua mjadala si tu nchini Uganda bali kote duniani, kiasi cha kuyafanya mataifa ya magharibi yalazimike kuingilia kati.

Mahakama ilisema muswada uliopitishwa kabla ya kuidhinishwa na rais kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kuupitisha na kwa hivyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ushoga:Tetesi za sheria mpya Uganda

Suala la wapenzi wa jinsia moja na sheria nchini Uganda baado linazua mijadala nchini Uganda kukiwa na tetesi kuwa sheria kali zaidi inaundwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga

Kiongozi wa upinzani nchini Malaysia, Anwar Ibrahim, amefika mahakamani ili kukata rufaa dhidi ya hukumu inayomkabili ya ushoga.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI ZA UGANDA NA TANZANIA ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO JUU YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI

Kutoka Kushoto - Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio,  Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Nishati na Madini (Uganda), Dkt. Fred Kabagambe Kaliisa na Meneja Mkuu wa Total E&P Uganda, Ndg. Adewale Fayemi wakipongezana baada ya kutia saini Hati ya Makubaliano (MoU) baina ya Serikali ya Uganda na Tanzania juu ya utekelezaji wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda (Kabaale) mpaka bandari ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Uganda bado wapo S Kusini

Uganda inasema wanajeshi wake bado wako Sudan Kusini ingawa siku ya kuondoshwa huko imefika

 

10 years ago

BBCSwahili

Nguo za ndani za mitumba bado Uganda

Nguo kuukuu au mitumba bado ni za bei nafuu hususan kwa walala hoi nchini Uganda na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani