Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga

Kiongozi wa upinzani nchini Malaysia, Anwar Ibrahim, amefika mahakamani ili kukata rufaa dhidi ya hukumu inayomkabili ya ushoga.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mbowe akata rufaa mahakama kuu dhidi ya hukumu yake

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe amekata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa dhidi yake Julai, mwaka huu, na kumtoza faini ya Sh1 milioni baada ya kupatikana na hatia katika kosa la jinai.

 

10 years ago

CloudsFM

Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali  juu ya mavazi yake...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali  juu ya mavazi yake...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe ashinda rufaa dhidi ya hukumu kesi ya shambulio

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi leo imeifuta hukumu iliyomtia hatiani Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na kuamuru arejeshewe Sh1 milioni alizolipa kama faini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Zitto Kabwe kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kutokutoa matamshi ya uchochezi

Kiuongozi wa chama cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ametiwa hatiani na mahakama jijini Dar es Salaam na kuhukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja kwa sharti la kutokutoa kauli za kichochezi.

 

10 years ago

Habarileo

Chenge akwama, akata rufaa

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa. Anna Tibaijuka akisalimiana na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge baada ya kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kuhusu sakata la Escrow, Dar es Salaam jana.MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ameendelea kupambana ili Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, lisiendelee kusikiliza shauri lake, licha ya pingamizi lake kutupiliwa mbali jana.

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema akata rufaa

ALIYEKUWA mgombea ubunge wa jimbo la uchaguzi la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bartholomew Msambichaka, amekata rufaa Tume ya Uchaguzi (NEC) kupinga pingamizi alilowekewa akidaiwa kutorudisha fomu namba 10.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pistorius:Kiongozi wa mashitaka akata rufaa

Jaji anayesikiliza kesi ya mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius, ameahirisha uamuzi wake ikiwa ataruhusu mwendesha mashtaka kukata rufaa ya kuhusu uamuzi wake na hukumu iiyotolewa.

 

10 years ago

GPL

CHENGE AKATA RUFAA TUME YA MAADILI

Mh.Andrew Chenge akitoa ufafanuzi mbele ya Mwenyekiti wa Tume ya Maadili Jaji Hamis Masami. Baadhi ya viongozi wa Tume ya Maadili sambamba na wanahabari  katika chumba cha mahohojiano.
MHESHIMIWA Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge anayetuhumiwa kwa kashfa ya Escrow jana amekata rufaa mbele ya ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani