Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto Kabwe kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kutokutoa matamshi ya uchochezi

Kiuongozi wa chama cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ametiwa hatiani na mahakama jijini Dar es Salaam na kuhukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja kwa sharti la kutokutoa kauli za kichochezi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba

WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.

Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...

 

5 years ago

CCM Blog

ZITTO KABWE AHUKUMIWA KUTOONGEA MAMBO YA UCHOCHEZI MWAKA MMOJA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Ztitto Kabwe, kutotoa na kutoandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Zitto amehukumiwa leo mahakamani hapo baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 29, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi 15 wa upande wa mashtaka na kuzingatia utetezi wa Zitto...

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto ruksa kukata rufaa Chadema

>Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umempelekea Zitto Kabwe taarifa ya kikao cha Kamati Kuu kilichomvua madaraka yake ndani ya chama hicho ili aweze kukata rufaa.

 

10 years ago

Habarileo

DPP kukata rufaa dhidi ya ombi la Shehe Farid

Shekhe Farid Hadi AhmedMKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusudio la Kukata Rufaa dhidi ya uamuzi wa ombi lililowasilishwa na Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA ZITTO KABWE KESHO SAA NANE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda kwa Kamati Kuu ya Chadema kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka kesho saa nane…

 

11 years ago

GPL

ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wa ke na Kamati Kuu ya…

 

10 years ago

BBCSwahili

Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga

Kiongozi wa upinzani nchini Malaysia, Anwar Ibrahim, amefika mahakamani ili kukata rufaa dhidi ya hukumu inayomkabili ya ushoga.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani