ZITTO KABWE AHUKUMIWA KUTOONGEA MAMBO YA UCHOCHEZI MWAKA MMOJA
Na Karama Kenyunko Michuzi TV MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Ztitto Kabwe, kutotoa na kutoandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Zitto amehukumiwa leo mahakamani hapo baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 29, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi 15 wa upande wa mashtaka na kuzingatia utetezi wa Zitto...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili29 May
Zitto Kabwe kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kutokutoa matamshi ya uchochezi
5 years ago
MichuziZITTO KABWE AHUKUMIWA LEO DHIDI YA MASHTAKA MATATU
Zitto amehukumiwa leo mahakamani hapo baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 29, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi 15 wa upande wa mashtaka na kuzingatia utetezi wa Zitto...
10 years ago
Habarileo18 Jun
Mbowe ahukumiwa mwaka mmoja
MAHAKAMA ya wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, imemtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja, kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.
10 years ago
VijimamboMwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe AHUKUMIWA Jela Mwaka Mmoja.
MAHAKAMA ya wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, imemtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja, kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.Akisoma hukumu hiyo iliyohudhuriwa na wabunge wengi wa Chadema, Hakimu Mkazi Mfawidhi, Denis Mpelembwa, alisema mahakama imemkuta Mbowe na hatia, hivyo kutakiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa...
11 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziNEWZ ALERT: MKURUGENZI MTENDAJI MTANDAO WA JAMII FORUM MAXENCE MERO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA AMA KULIPA FAINI
Hukumu hiyo imesomwa leo Aprili 8,2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba.
Hata hivyo mahakama imemuachia huru mshtakiwa Micke William ambaye ni Mwanahisa wa mtandao...
11 years ago
Zitto Kabwe, MB17 Jun
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...
5 years ago
MichuziMwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni
Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.
Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...