Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANASHERIA WA ZITTO KABWE, ALBERT MSANDO AKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA HUKUMU

(Video: Jelard Lucas / GPL)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TUNDU LISSU NA PETER KIBATARA WAKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA HUKUMU YA ZITTO

Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu akiwa na Mwanasheria wa chama hicho, Peter Kibatara wakiongea na wanahabari baada ya hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe jana Januari 7, 2014.

 

11 years ago

GPL

ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wa ke na Kamati Kuu ya…

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA ZITTO KABWE KESHO SAA NANE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda kwa Kamati Kuu ya Chadema kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka kesho saa nane…

 

11 years ago

GPL

KAMANDA WAMBURA AKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA MTIKISIKO KWENYE JENGO LA OFISI ZA TIGO DAR

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura akiongea na wanahabari jirani na jengo la Derm lenye ofisi za Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam palipotokea mtikisiko leo. (VIDEO: BALINABAS MANYILIZU / GPL)

 

5 years ago

BBCSwahili

Zitto Kabwe kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kutokutoa matamshi ya uchochezi

Kiuongozi wa chama cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ametiwa hatiani na mahakama jijini Dar es Salaam na kuhukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja kwa sharti la kutokutoa kauli za kichochezi.

 

11 years ago

GPL

MWALIKO WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI: NDUGU ALBERT MSANDO

Mhe Zitto Zuberi Kabwe. MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Hoteli ya Serena leo tarehe 11/12/2013 kuanzia saa nne na nusu asubuhi (saa 4.30 asubuhi)
 
Dhima ya mkutano huu itakuwa kutoa ufafafunuzi juu  ya mashitaka 11 na majibu yake  ambayo Mhe. Zitto Kabwe  na washitakiwa wenzake walipewa na...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe zitto kabwe aongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiongea na wanahabari hivi sasa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo. Wengine ni viongozi wa juu wa chama cha ACT alikohamia rasmi jana.Habari zaidi zitakuja muda si mrefu ujao

 

11 years ago

GPL

KUTOKA MAHAKAMA KUU BAADA YA HUKUMU YA PINGAMIZI LA ZITTO KUAIRISHWA

Baadhi ya wanachama wa Chadema wakitoa maoni yao baada ya hukumu ya pingamizi la Zitto Kabwe kuairishwa katika Mahakama Kuu jijini Dar mpaka kesho saa nane mchana. (Video na Jelard Lucas / GPL)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani