Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe zitto kabwe aongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiongea na wanahabari hivi sasa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo. Wengine ni viongozi wa juu wa chama cha ACT alikohamia rasmi jana.Habari zaidi zitakuja muda si mrefu ujao

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu aongea na wanahabari leo

 Na Miza Othman Maelezo Zanzibar Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu amesema ucheleweshwaji wa kesi katika Mahakama za Zanzibar unasababishwa na mambo mengi ikiwemo kukosekana mashahidi na kutokamilika kwa upelelezi na ukosefu wa vitendea kazi.  Hayo ameyaeleza leo huko Ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waaandishi wa Habari juu ya sherehe ya siku ya sheria Zanzibar ambayo itaadhimishwa tarehe 10 Februari 2014. Amesema kaulimbiu ya maadhimisho hayo mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA VUGUVUGU NCHINI BURUNDI AONGEA NA WANAHABARI HOTEL YA SERENA JIJINI DAR.

Kikao Kikiwa kinaendelea Jana usiku
Mwenyekiti wa Vuguvugu kutoka nchini Burundi Bw. Mugwengezo Chauvineau akiongea na waandishi wa Habari  Serena Hotel Dar jana usiku .
Dkt. Christine Mbunyingingo Mwenyekiti wa wanawake na wasichana katika harakati za usawa Nchini Burundi, Akiongea na waandishi wa Habari jana usiku . 

***** Mwenyekiti wa vuguvugu za Maandamano Burundi kwa Mara ya kwanza amefika Nchini Tanzania ili kuweza kushuhudia Mkutano wa Dharula kati ya viongozi watano wa Jumuia...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA VUGUVUGU LA MAANDAMANO NCHINI BURUNDI AONGEA NA WANAHABARI HOTEL YA SERENA JIJINI DAR

Kikao kikiwa kinaendelea jana usiku.
Mwenyekiti wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Bw. Mugwengezo Chauvineau akiongea na waandishi wa habari  Serena Hotel Dar jana usiku . Dkt. Christine Mbunyingingo Mwenyekiti wa wanawake na wasichana katika harakati za usawa nchini Burundi, akiongea na waandishi wa habari jana usiku. Mwenyekiti wa vuguvugu za Maandamano Burundi kwa Mara… ...

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Tovuti ya Mhe. Stephen Wasira jijini Dar es salaam leo

Mhe. Stephen Wasira amezindua tovuti itasaidia umma kupata taarifa zinazohusu shughuli za maendeleo na changamoto katika jimbo la Bunda na nyinginezo.  Taarifa hizi zinapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza. Unaweza kuzipata kulingana na kifaa (device) ukitumiacho kama desktop/laptop computer (PC), tablet na simu za mkononi. Mbunge wa Serengeti Mhe. Dr. Kebwe alikuwepo pia.  Tovuti inapatikana:  www.stephenwasira.co.tz Muonekano wa tovuti ya Mhe Stephen Wasira wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

Just in: Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga afariki dunia jijini Dar es salaam leo

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga  (pichani) amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi.

“Ni kwa masikitiko makubwa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (ya Malawi) unauarifu umma kufariki dunia kwa Balozi Flossy Gomile-Chidyaonga baada ya kuugua kwa muda mfupi jijini Dar es salaam mchana huu”, imesema taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara hiyo Quent Kalichero.
“Tangu mwaka 2006 Marehemu Bi Flossy...

 

10 years ago

Michuzi

Zitto Kabwe aongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo

 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Urambo.  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) Wanachama wakimsikiliza kiongozi wao Mkuu. Wanachama wakimsikiliza Kionozi wao Mkuu kwa umakini mkubwa. Katibu Kata Urambo Kati, Mkulila Shabani akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo  Mwenyeti Kata ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete na Mkewe wamjulia hali mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa aliyelazwa hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo

aa4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.(PICHA NA IKULU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani