Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Just in: Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga afariki dunia jijini Dar es salaam leo

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga  (pichani) amefariki dunia leo jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi.

“Ni kwa masikitiko makubwa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (ya Malawi) unauarifu umma kufariki dunia kwa Balozi Flossy Gomile-Chidyaonga baada ya kuugua kwa muda mfupi jijini Dar es salaam mchana huu”, imesema taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara hiyo Quent Kalichero.
“Tangu mwaka 2006 Marehemu Bi Flossy...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWILI WA BALOZI WA MALAWI NCHINI FLOSSIE CHIDYAONGA ULIVYOAGWA JIJINI DAR

Hivi ndivyo mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga ulivyoagwa katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam…

 

11 years ago

GPL

TANZIA: BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA AFARIKI DUNIA

Flossy Gomile-Chidyaonga enzi za uhai wake. Balozi wa Malawi hapa nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga amefariki dunia baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Alikuwa balozi Tanzania tangu mwaka 2011. Rais Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda.

 

11 years ago

Dewji Blog

Dar yazizima kufuatia kifo cha Balozi Flossie Gomile Chidyaonga

DSC_0051

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili kuhudhuria misa maalum ya kumwombea aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini, Mh Flossie Gomile Chidyaonga kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0063

 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame akibadilishana mawazo na Balozi...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KIFO CHA BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA,HAYATI FLOSSIE GOMILE

Serikali imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Balozi wa Malawi hapa nchini Hayati Mhe. Flossie Gomile Chidyaonga kilichotokea juzi Ijumaa tarehe 09 Mei, 2014. Balozi Chidyaonga alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Aga Khan ya hapa Dar es Salaam.
Balozi Flossie Chidyaonga alizaliwa tarehe 16 Juni, 1960 huko Blantyre nchini Malawi. Balozi Chidyaonga aliitumikia Serikali ya Malawi katika nyadhifa mbalimbali. Kati ya mwaka 2006 hadi 2010 alikuwa Naibu Balozi wa Malawi...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkaribisha  Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing  alipomtembelea  ofisini kwake  leo jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo  ya kuimarisha  ushirikiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya uendelezaji wa Ardhi na Mipango miji  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kulia) ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Malawi afariki dunia Tanzania

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi Flossie Gomile Chidyaonga amefariki dunia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam

 

9 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa maafisa kutoka Tanzania wamtembelea Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi

Ujumbe wa maafisa wanane kutoka Tanzania ulioko nchini Malawi kwa ziara ya kimafunzo umemtembelea Mhe. Victoria R. Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi, ofisini kwake mjini Lilongwe. Ujumbe huo wenye maafisa kutoka taasisi mbalimbali za Serikali ikiwemo Ofisi ya Rais –Utumishi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wizara ya Fedha, Clinton Health Access Initiative (CHAI), na Mpango wa Taifa wa Kuthibiti UKIMWI (National Aids...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakalawalipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakalawalipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani