TAARIFA YA KIFO CHA BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA,HAYATI FLOSSIE GOMILE
Serikali imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Balozi wa Malawi hapa nchini Hayati Mhe. Flossie Gomile Chidyaonga kilichotokea juzi Ijumaa tarehe 09 Mei, 2014. Balozi Chidyaonga alifariki akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Aga Khan ya hapa Dar es Salaam.
Balozi Flossie Chidyaonga alizaliwa tarehe 16 Juni, 1960 huko Blantyre nchini Malawi. Balozi Chidyaonga aliitumikia Serikali ya Malawi katika nyadhifa mbalimbali. Kati ya mwaka 2006 hadi 2010 alikuwa Naibu Balozi wa Malawi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog13 May
Dar yazizima kufuatia kifo cha Balozi Flossie Gomile Chidyaonga
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame, akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili kuhudhuria misa maalum ya kumwombea aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini, Mh Flossie Gomile Chidyaonga kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Muungano na Utawala Bora), Mh. Mwinyi Haji Makame akibadilishana mawazo na Balozi...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AgYecGYuXCc/U20Sf2yCjhI/AAAAAAAFgk8/umMhzJCW3cM/s72-c/lake+nyasa+072.jpg)
Just in: Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga afariki dunia jijini Dar es salaam leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-AgYecGYuXCc/U20Sf2yCjhI/AAAAAAAFgk8/umMhzJCW3cM/s1600/lake+nyasa+072.jpg)
“Ni kwa masikitiko makubwa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (ya Malawi) unauarifu umma kufariki dunia kwa Balozi Flossy Gomile-Chidyaonga baada ya kuugua kwa muda mfupi jijini Dar es salaam mchana huu”, imesema taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara hiyo Quent Kalichero.
“Tangu mwaka 2006 Marehemu Bi Flossy...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MWILI WA BALOZI WA MALAWI NCHINI FLOSSIE CHIDYAONGA ULIVYOAGWA JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog13 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ashiriki kuaga mwili wa marehemu Flossie Chidyaonga Balozi wa Malawi nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Balozi Frossie Chiyaonga, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Mei 12, 2014. Mwili huo unatarajia kusafirishwa kuelekea Malawi kwa maziko. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Z0dP2mSg4U8/VUtWEbcL01I/AAAAAAAA8qs/c37BjBKgXvw/s72-c/446.jpg)
BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z0dP2mSg4U8/VUtWEbcL01I/AAAAAAAA8qs/c37BjBKgXvw/s640/446.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kUUQfzL_m08/VUtWDwYmJSI/AAAAAAAA8qo/9wUVpgBYG3k/s640/456.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xG9UXjRoONk/VUtWEr1lsjI/AAAAAAAA8q0/mS76wPhdk48/s640/458.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-LEE9EKoPKDY/VhbQ6txD2QI/AAAAAAACAqI/NkhwkJXcgNU/s72-c/DSC_7874.jpg)
Balozi mpya wa Denmark nchini na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malawi wakutana na Dk Shein Ikulu
![](http://2.bp.blogspot.com/-LEE9EKoPKDY/VhbQ6txD2QI/AAAAAAACAqI/NkhwkJXcgNU/s640/DSC_7874.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ACTZLiTZy40/VhbQ8hx-lgI/AAAAAAACAqQ/N7aAN9vyw3Y/s640/DSC_7909.jpg)
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE NA MKEWE WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI WA MALAWI FLOSSIE CHIDYAONGA
9 years ago
Vijimambo31 Oct
Ujumbe wa maafisa kutoka Tanzania wamtembelea Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi
11 years ago
Michuzi12 May