Balozi mpya wa Denmark nchini na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malawi wakutana na Dk Shein Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi mpya wa Denmark katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Einar Hebogard alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboDk.Shein Azungumza na Balozi Mpya wa India na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Saudia Arabia.
9 years ago
VijimamboBALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI MPYA WA DENMARK NCHINI TANZANIA, EINAR HEBOGARD JENSEN
Denmark imeahidi kuendelea kuiunga Mkono Zanzibar katika harakati zake za Kiuchumi na...
10 years ago
VijimamboBALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...
11 years ago
MichuziDKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI, AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA UJERUMAN NCHINI
9 years ago
VijimamboDk Shein Azungumza na Balozi wa Tanzania Uholanzi na Balozi Mpya ya Jamuhuri ya Algeria Ikulu Zanzibar.
10 years ago
MichuziJK mwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, apokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini leo
9 years ago
Vijimambo31 Oct
Ujumbe wa maafisa kutoka Tanzania wamtembelea Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege, Balozi wa Tanzania nchini Malawi