DPP kukata rufaa dhidi ya ombi la Shehe Farid
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusudio la Kukata Rufaa dhidi ya uamuzi wa ombi lililowasilishwa na Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba
WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.
Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...
5 years ago
BBCSwahili29 May
Zitto Kabwe kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kutokutoa matamshi ya uchochezi
10 years ago
Habarileo14 Jan
‘Upelelezi kesi ya Shehe Farid haujakamilika’
UPELELEZI wa kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake bado haujakamilika.
10 years ago
Habarileo31 Dec
Hakimu ajitoa kesi ya ugaidi ya Shehe Farid
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.
5 years ago
CHADEMA Blog13 Feb
Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko
11 years ago
Habarileo03 Jun
DPP aiomba Mahakama Kuu kutupa ombi la Ponda
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali ombi la Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Shekhe Issa Ponda kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.
11 years ago
Habarileo10 Jun
DPP ataka ombi la watuhumiwa ghorofa la Kisutu litupwe
UPANDE wa Jamhuri umeiomba Mahakama kutupilia mbali ombi la marejeo ya amri na uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kubadilisha mashitaka na kufuta dhamana kwa washitakiwa tisa, kwa kuwa halina msingi kisheria.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NrCJT1C9ZWo/VihftnIEt8I/AAAAAAAIBmI/BgU5y0vjJAw/s72-c/images.jpg)
IJUE NAMNA YA KUKATA RUFAA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-NrCJT1C9ZWo/VihftnIEt8I/AAAAAAAIBmI/BgU5y0vjJAw/s1600/images.jpg)
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Bensouda kukata rufaa kesi ya Katanga