Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IJUE NAMNA YA KUKATA RUFAA.

NA  BASHIR  YAKUB -Unaposhindwa  kesi  sio  mwisho  wa kusaka  haki. Hii  ni  kwasababu  kushindwa  kesi  kunatokana  na  sababu  nyingi . Si  kweli  kuwa  kwakuwa  umeshindwa  kesi  katika  mahakama  fulani  basi  maana  yake  ni  kuwa  ulikuwa  huna  haki. Yawezekana  kabisa  haki  ilikuwa  yako  isipokuwa  umeshindwa  tu  kutokana  na  sababu  nyingine  za  kiutaratibu na  kimbinu (procedures & technicalities).  Pia  waweza  kuwa  umeshindwa  kutokana  na  uwezo  mdogo  wa  kujieleza  na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUKATA RUFAA KESI ZA ARDHI

Na  Bashir  Yakub.
Rufaa  ni  hatua  ya   kisheria  ambayo  hufikiwa  na  mhusika  katika  shauri  fulani  iwapo  hakurushishwa  na  maamuzi. Rufaa  sio  mpaka  uwe  umeshindwa  kabisa,  hapana. Yawezekana  ukawa  umeshinda  kesi  lakini  hukuridhishwa  na kiwango   ulichoshinda.Kwa  mfano  uliomba  wavamizi  waondoke  katika  nyumba yako   na  hapohapo  wakulipe  fidia. Mahakama  ikatoa  hukumu  kuwa  umeshinda  wavamizi  waondoke  katika  nyumba  yako  lakini  ikasema wasikulipe...

 

9 years ago

Michuzi

JE MNAHITAJI SACCOS, IJUE NAMNA YA KUANZISHA.

NA  BASHIR   YAKUB.NILIWAHI  kueleza  namna ya  kuanzisha  kampuni   pamoja  na  usajili  wa  jina  la  biashara. Katika  makala  hayo  pia  nilieleza  tofauti  kati  ya   kusajili  kampuni  na  kusajili  jina  la  biashara.
  Hii  ilikwenda  sambamba  na  maelezo  ya  tofauti  za  kiuchumi   ya  vyote  viwili.  Ifahamike  kuwa  hizi  zote  ni  njia  za  kisasa  za  kujitafutia  kipato.  Makala  ya  leo  yanaeleza  namna   ya  kisheria  ya  kuanzisha   SACCOS.  
Tutaona  utaratibu  mzima...

 

10 years ago

Mwananchi

Ijue afya yako -jongo husababishwa na namna tunavyokula -sehemu ya 2

Jumapili iliyopita tuliangalia maradhi ya kuvimba tezi kibofu au tezi dume. Tatizo hili hugeuka saratani baadaye, pia huwakabili wanawake katika kizazi au matiti. Hivyo ni muhimu tunapofikisha miaka 40 kukaguliwa na waganga kuhakikisha viungo viko sawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bensouda kukata rufaa kesi ya Katanga

Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda amesema atakata rufaa hukumu iliyotolewa kwa mbabe wa zamani wa kivita nchini Congo Germain Katanga

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto ruksa kukata rufaa Chadema

>Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umempelekea Zitto Kabwe taarifa ya kikao cha Kamati Kuu kilichomvua madaraka yake ndani ya chama hicho ili aweze kukata rufaa.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: IJUE NAMNA YA KUPATA MSAMAHA WA KODI NA USHURU BANDARINI.

Na Bashir YakubSheria  ya  Uwekezaji  ya  Mwaka  1977 imehamasisha  uwekezaji  kwa  wazawa  na  wasio  wazawa  kwa  kuweka  mazingira  rafiki  kwa  wajasiriamali katika  nyanja  zote.  Wapo  ambao  wanajua fursa hizi  na wamezitumia   kujipatia  maendeleo  na  wapo  ambao  hawajatumia  fursa  hizi.  Nataka  niseme  kitu  kimoja  kuwa  wazawa  wengi  wameshindwa  kufanikiwa  kwa  kutojua  uwepo wa fursa. Wengi  wangependa  kutumia  fursa   kama  zipo  lakini  hawajui ziko  wapi na ...

 

10 years ago

Mtanzania

Kibatala kukata rufaa, aipinga Mahakama Kuu

Bunge

Bunge

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WAKILI Peter Kibataka anatarajia kukata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kusema kwamba haina mamlaka ya kuingilia marekebisho yanatayofanywa na Bunge Maalum la Katiba katika rasimu.

Kibatala alidai hayo kupitia taarifa yake aliyoitoa jana kupitia mtandao wa kijamii wa facebook ambapo alidai anatarajia kukatia rufaa sehemu ya uamuzi wa mahakama hiyo inayosema kwamba pamoja na kwamba Bunge Maalumu la Katiba lina mipaka na linatakiwa kutekeleza mamlaka...

 

10 years ago

Habarileo

Kingunge asisitiza haki ya kukata rufaa CCM

Kingunge Ngombale Mwiru.MUASISI wa Chama Cha Mapinduzi, Kingunge Ngombale-Mwiru amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoa nafasi ya rufaa kwa watu watakaoona kutotendewa haki katika kuwania urais kupitia chama hicho.

 

10 years ago

Africanjam.Com

NAMNA YA KUZUIA KUTOKWA NA MACHOZI WAKATI WA KUKATA VITUNGUU


Ni kitu kilichowazi kwa kila mtu hususani wale wanaojihusisha na swala zima la mapishi kuhusu kutokwa na machozi wakati wa kukata kitunguu. Wataalam wa mambo wanadai kwamba ukikata kitunguu huku unatafuna BIG G kuna uwezekano mkubwa usitokwe na machozi na hata kama yatatoka ni kwa kiwango kidogo ukilinganisha na ukifanya zoezi hilo bila kutafuna BIG G.



Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani