JE MNAHITAJI SACCOS, IJUE NAMNA YA KUANZISHA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-V_aZzFKYvNE/VjxeE8TJr2I/AAAAAAAIEnU/obNrHw1SqvQ/s72-c/download.jpg)
NA BASHIR YAKUB.NILIWAHI kueleza namna ya kuanzisha kampuni pamoja na usajili wa jina la biashara. Katika makala hayo pia nilieleza tofauti kati ya kusajili kampuni na kusajili jina la biashara.
Hii ilikwenda sambamba na maelezo ya tofauti za kiuchumi ya vyote viwili. Ifahamike kuwa hizi zote ni njia za kisasa za kujitafutia kipato. Makala ya leo yanaeleza namna ya kisheria ya kuanzisha SACCOS.
Tutaona utaratibu mzima...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NrCJT1C9ZWo/VihftnIEt8I/AAAAAAAIBmI/BgU5y0vjJAw/s72-c/images.jpg)
IJUE NAMNA YA KUKATA RUFAA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-NrCJT1C9ZWo/VihftnIEt8I/AAAAAAAIBmI/BgU5y0vjJAw/s1600/images.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Ijue afya yako -jongo husababishwa na namna tunavyokula -sehemu ya 2
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-x19a3hd2EvM/VcAseKo150I/AAAAAAAHts0/RISIqPIdMyE/s72-c/dar%252Bport.jpg)
MAKALA YA SHERIA: IJUE NAMNA YA KUPATA MSAMAHA WA KODI NA USHURU BANDARINI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-x19a3hd2EvM/VcAseKo150I/AAAAAAAHts0/RISIqPIdMyE/s640/dar%252Bport.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tv-ATKUmjZU/VcEswWql3KI/AAAAAAAHuP4/40YDVy1kkgo/s72-c/TIN.jpg)
NAMNA YA KUPATA TIN NAMBA YA KAMPUNI,NGOs NA VIKUNDI/SACCOS
![](http://2.bp.blogspot.com/-tv-ATKUmjZU/VcEswWql3KI/AAAAAAAHuP4/40YDVy1kkgo/s640/TIN.jpg)
Nilipoandika kuhusu namna ya kuunda kampuni kwa mujibu wa Sheria ya Makampuni sura ya 212 nilieleza pia kuwa unapokuwa umekamilisha usajili wa kampuni na umepata cheti cha usajili yapo mambo mengine ya kufanya kabla ya kuanza rasmi biashara.
Moja ya mambo hayo nilisema ukishapata cheti unatakiwa uende manispaa husika ukapate leseni ya biashara. Manispaa husika ni manispaa ambako ofisi ya kampuni yako itakuwa....
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao
Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Ijue T.P.Ok. Jazz ilikoanzia (2)
ILIPOTIMU mwaka 1975, Franco alifyatua nyimbo kali za hali ya juu ya Bomba Bomba Mabe. Katikati ya miaka ya 1970, Franco alikuwa mmoja wa Wakongomani matajiri, akiwa amewekeza kwa kiasi...
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Ijue Ijumaa Kuu
Ijumaa Kuu ni siku ya mwaka ambayo wafuasi wengi wa Yesu Kristo wanaadhimisha kifo chake msalabani ambacho kilitokea nje ya kuta za mji wa Yerusalemu siku ya Ijumaa.
Kadiri ya Mtume Yohane kesho yake ilikuwa Sabato na pia Pasaka, jambo lisilotokea kwa kawaida. Kwa sababu hiyo wataalamu mbalimbali wanakadiria ilikuwa tarehe 7 Aprili 30.
Ijumaa kuu ni sehemu ya Juma Kuu linaloanza kwa adhimisho la Yesu kuingia mji huo akishangiliwa kama mfalme wa Wayahudi (yaaniMasiya au Kristo). Adhimisho...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/jAuhAB0HeeA/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Ijue kompyuta na kazi zake
KOMPYUTA ama Takirishi kwa kiswahili fasaha ni mashine au chombo cha kielektroniki chenye uwezo wa kupokea taarifa, kufanya hesabu, kushughulikia au kufanyia kazi na kutoa matokeo ya kazi hiyo na...