Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAMNA YA KUPATA TIN NAMBA YA KAMPUNI,NGOs NA VIKUNDI/SACCOS

Na  Bashir  Yakub. 
Nilipoandika  kuhusu  namna  ya  kuunda kampuni  kwa  mujibu  wa  Sheria ya  Makampuni  sura ya 212 nilieleza  pia   kuwa   unapokuwa  umekamilisha  usajili  wa  kampuni     na  umepata  cheti  cha  usajili   yapo  mambo  mengine  ya  kufanya  kabla  ya  kuanza  rasmi  biashara. 
Moja  ya  mambo  hayo  nilisema   ukishapata  cheti unatakiwa  uende  manispaa  husika  ukapate  leseni  ya  biashara. Manispaa husika  ni  manispaa  ambako  ofisi  ya  kampuni  yako  itakuwa....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

9 years ago

Michuzi

JE MNAHITAJI SACCOS, IJUE NAMNA YA KUANZISHA.

NA  BASHIR   YAKUB.NILIWAHI  kueleza  namna ya  kuanzisha  kampuni   pamoja  na  usajili  wa  jina  la  biashara. Katika  makala  hayo  pia  nilieleza  tofauti  kati  ya   kusajili  kampuni  na  kusajili  jina  la  biashara.
  Hii  ilikwenda  sambamba  na  maelezo  ya  tofauti  za  kiuchumi   ya  vyote  viwili.  Ifahamike  kuwa  hizi  zote  ni  njia  za  kisasa  za  kujitafutia  kipato.  Makala  ya  leo  yanaeleza  namna   ya  kisheria  ya  kuanzisha   SACCOS.  
Tutaona  utaratibu  mzima...

 

10 years ago

Michuzi

makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI

Na Bashir YakubNi ukweli usiofichika kuwa  biashara  na ujasirimali  kwa pamoja vimekua  kwa kiwango kikubwa. Hili linatokana na sababu nyingi ikiwemo ya kukua kwa biashara za kimataifa, maendeleo ya mawasiliano, marekebisho ya baadhi ya sera za nchi na sababu nyinginezo. Hali  hii imeleta ugumu kwa wanaofanya biashara nje ya kampuni. 
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni. 
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rweikiza aviwezesha vikundi kupata mikopo

ZAIDI  ya vikundi 200 vimewezeshwa kupata mikopo isiyo na riba ya zaidi ya sh milioni 150  inayoratibiwa na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza. Pia mbunge huyo mapema mwaka huu...

 

9 years ago

Dewji Blog

SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao

IMG_0942

Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi   cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.

IMG_0945

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku akimpa mama msaada wa shilingi 50,000 zisaidie kumnunulia Neema Jonson (29) mkazi wa kijiji cha Mgongo wilaya ya Iramba kitanda. Neema ni mlemavu wa miguu na...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA RITHT HERE NCHINI IMEPATA MWEKEZAJI MPYA NA KUPATA UBIA NA KAMPUNI KUBWA YA KIMATAIFA.



Kampuni ya matangazo ya FLAMETREE iliyojikita Africa mashariki sasa imezinduliwa upya na kupewa jina jipya la RIGHT HERE TANZANIA, mabadiliko haya yametokana na kuingia kwa mwekezaji mpya wa kimataifa ambaye ameonyesha nia ya dhati ya kuwekeza kwenye kampuni hii kufuatia utendaji mzuri aliouona kwenye kampuni hiyo na kuamua kuongeza nguvu zaidi katika kuinua utendaji, uwekezaji huu unatarajiwa kuongeza tija na muamko wa wafanyakazi na wateja wao. Kufuatia mabadiliko haya sasa kampuni ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kupata alama ya ubora wa kimataifa

Katika uzalishaji wa bidhaa, viwango vya bidhaa ni kitu cha muhimu. Alama ya ubora ya kimataifa hutolewa na Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), ambalo lina wanachama zaidi ya nchi 160 duniani.

 

9 years ago

Mwananchi

10 years ago

Mwananchi

Namna ya kumsaidia mgumba kupata mtoto

Mimi ni mwanaume wa miaka 62 ni mmoja wa waathirika wa tatizo la ugumba, kwa muda mrefu nimekuwa nikihangaikia bila mafanikio kutatua tatizo hili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani