Bensouda kukata rufaa kesi ya Katanga
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda amesema atakata rufaa hukumu iliyotolewa kwa mbabe wa zamani wa kivita nchini Congo Germain Katanga
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4wbVGLNcrhY/Vbk439CLI2I/AAAAAAAHsnc/vv_cpQ1byP0/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUKATA RUFAA KESI ZA ARDHI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4wbVGLNcrhY/Vbk439CLI2I/AAAAAAAHsnc/vv_cpQ1byP0/s640/1.1774256.jpg)
Rufaa ni hatua ya kisheria ambayo hufikiwa na mhusika katika shauri fulani iwapo hakurushishwa na maamuzi. Rufaa sio mpaka uwe umeshindwa kabisa, hapana. Yawezekana ukawa umeshinda kesi lakini hukuridhishwa na kiwango ulichoshinda.Kwa mfano uliomba wavamizi waondoke katika nyumba yako na hapohapo wakulipe fidia. Mahakama ikatoa hukumu kuwa umeshinda wavamizi waondoke katika nyumba yako lakini ikasema wasikulipe...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NrCJT1C9ZWo/VihftnIEt8I/AAAAAAAIBmI/BgU5y0vjJAw/s72-c/images.jpg)
IJUE NAMNA YA KUKATA RUFAA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-NrCJT1C9ZWo/VihftnIEt8I/AAAAAAAIBmI/BgU5y0vjJAw/s1600/images.jpg)
11 years ago
BBCSwahili07 Mar
ICC kuamua kesi dhidi ya Katanga
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Zitto ruksa kukata rufaa Chadema
10 years ago
Mtanzania29 Sep
Kibatala kukata rufaa, aipinga Mahakama Kuu
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAKILI Peter Kibataka anatarajia kukata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kusema kwamba haina mamlaka ya kuingilia marekebisho yanatayofanywa na Bunge Maalum la Katiba katika rasimu.
Kibatala alidai hayo kupitia taarifa yake aliyoitoa jana kupitia mtandao wa kijamii wa facebook ambapo alidai anatarajia kukatia rufaa sehemu ya uamuzi wa mahakama hiyo inayosema kwamba pamoja na kwamba Bunge Maalumu la Katiba lina mipaka na linatakiwa kutekeleza mamlaka...
10 years ago
Habarileo09 Jul
Kingunge asisitiza haki ya kukata rufaa CCM
MUASISI wa Chama Cha Mapinduzi, Kingunge Ngombale-Mwiru amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoa nafasi ya rufaa kwa watu watakaoona kutotendewa haki katika kuwania urais kupitia chama hicho.
10 years ago
Vijimambo07 Jul
Nape: Hakuna nafasi ya kukata rufaa majina yakikatwa
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2778480/highRes/1055708/-/maxw/600/-/8tr3egz/-/pic+nape.jpg)
Dodoma.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa wanachama wa chama hicho walioomba ridhaa ya chama kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais iwapo majina yao yatakatwa.Kauli hiyo imetolewa mjini Dodoma leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho, Nape Nnauye alipokutana na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya ratiba ya vikao vya mchujo wa wagombea utakaoanza siku...
10 years ago
Habarileo30 Dec
DPP kukata rufaa dhidi ya ombi la Shehe Farid
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusudio la Kukata Rufaa dhidi ya uamuzi wa ombi lililowasilishwa na Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba
WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.
Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...