Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DPP ataka ombi la watuhumiwa ghorofa la Kisutu litupwe

UPANDE wa Jamhuri umeiomba Mahakama kutupilia mbali ombi la marejeo ya amri na uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kubadilisha mashitaka na kufuta dhamana kwa washitakiwa tisa, kwa kuwa halina msingi kisheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

DPP kukata rufaa dhidi ya ombi la Shehe Farid

Shekhe Farid Hadi AhmedMKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusudio la Kukata Rufaa dhidi ya uamuzi wa ombi lililowasilishwa na Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.

 

11 years ago

Habarileo

DPP aiomba Mahakama Kuu kutupa ombi la Ponda

MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali ombi la Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Shekhe Issa Ponda kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.

 

10 years ago

Habarileo

Kisutu wawaachia huru watuhumiwa wa EPA

Rajabu MarandaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru Kada wa CCM Rajabu Maranda na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi wizi wa Sh milioni 207 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

GPL

WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA MWAKA 2010 WATINGA KISUTU

Watuhumiwa hao wakitolewa mahabusu kwenda kizimbani kusikiliza kesi yao, hata hivyo haikusikilizwa kwa sababu hakimu hakuwepo.
Mtuhumiwa Leila aliyejitanda nguo akizungumza na askari magereza mahakamani hapo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

DPP awafutia kesi watuhumiwa viungo vya binadamu

WAHADHIRI wanne wa Chuo Kikuu cha Tiba cha IMTU, Mbezi Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na makosa mawili, likiwemo la kushindwa kufukia viroba 83...

 

5 years ago

Michuzi

Watuhumiwa watatu akiwemo raia wa Nigeria wa Dawa za kulevya wapadishwa kizimbani kisutu leo

WAFANYABIASHARA watatu akiwemo Raia mmoja wa Nigeria, David Chukwu 38 Mkazi wa Masaki wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilogramu 268.50 za dawa za kulevya na kutakatisha zaidi ya sh. Milioni 150.

Mbali na Chukwu washtakiwa wengine ni Isso Lupembe 49 mkazi wa Mbezi Luis na Allistair Mbele 38 anayeishi Mbezi Kibanda cha Mkaa.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na mawakili wa serikali waandamizi , Veronika Matikila, na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Slaa ataka DPP atimuliwe

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumwondoa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Eliezer Feleshi, kutokana na kuidhalilisha serikali kwa kufungua...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya ghorofa yaahirishwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, jana imeahirisha kesi ya mauaji ya watu 27 kutokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani