Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kisutu wawaachia huru watuhumiwa wa EPA

Rajabu MarandaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru Kada wa CCM Rajabu Maranda na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi wizi wa Sh milioni 207 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa EPA waachiwa huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka  Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi Sudan Kusini wawaachia huru watoto

Waasi nchini Sudani kusini wamewaachia huru kundi la kwanza la watoto waliokuwa wamechukuliwa kuwa wanajeshi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa wa EPA, aachiwa huru na Mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesigwa Lukaza baada ya kuwaona hawana hatia katika kesi ya wizi wa  wa Sh 6.3 bilioni za akaunti ya madeni ya Nje (EPA) iliyopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

11 years ago

Habarileo

DPP ataka ombi la watuhumiwa ghorofa la Kisutu litupwe

UPANDE wa Jamhuri umeiomba Mahakama kutupilia mbali ombi la marejeo ya amri na uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kubadilisha mashitaka na kufuta dhamana kwa washitakiwa tisa, kwa kuwa halina msingi kisheria.

 

11 years ago

GPL

WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA MWAKA 2010 WATINGA KISUTU

Watuhumiwa hao wakitolewa mahabusu kwenda kizimbani kusikiliza kesi yao, hata hivyo haikusikilizwa kwa sababu hakimu hakuwepo.
Mtuhumiwa Leila aliyejitanda nguo akizungumza na askari magereza mahakamani hapo.…

 

5 years ago

Michuzi

Watuhumiwa watatu akiwemo raia wa Nigeria wa Dawa za kulevya wapadishwa kizimbani kisutu leo

WAFANYABIASHARA watatu akiwemo Raia mmoja wa Nigeria, David Chukwu 38 Mkazi wa Masaki wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilogramu 268.50 za dawa za kulevya na kutakatisha zaidi ya sh. Milioni 150.

Mbali na Chukwu washtakiwa wengine ni Isso Lupembe 49 mkazi wa Mbezi Luis na Allistair Mbele 38 anayeishi Mbezi Kibanda cha Mkaa.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na mawakili wa serikali waandamizi , Veronika Matikila, na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Mahakama ya Kisutu yamwachia huru Askofu Gwajima na wachungaji wake watatu leo

GWAJIMA2 (1)

Taarifa zilizotufikia chumba cha habari cha modewjiblog zimeeleza kuwa Askofu Josephat Gwajima aliyejisalimisha Polisi Central na hatimaye kupelekwa Mahakama ya Kisutu wameachiwa huru kwa dhamana yeye pamoja na wachungaji wake watatu, jijini Dar es Salaam jioni ya leo.

Askofu Gwajima aliwataja Maaskofu hao kuwa ni Askofu Geofrey Andrew, Mchungaji George Mzava na Askofu Yeconia Bihagaze.

Hiyo ni kufuatia kushitakiwa kwa mashitaka mawili yanayowakabili likiwemo kumkashifu Askofu Pengo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa kujipatia mil. 128 kwa udanganyifu waachiwa huru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watu wawili waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kujipatia sh milioni 128.3 kwa njia ya udanganyifu pamoja na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa simu....

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI WAWAACHIA BIFU MAFUFU, KITALE

Msanii wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. Na Gladness Mallya JAPOKUWA uchaguzi umekwisha bado lile bifu la wasanii wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu na Musa Yusuf ‘Kitale’ linaendelea kufukuta ambapo Mafufu ameapa kwamba hawezi kuzungumza na msanii huyo kwani ni mnafiki. Msanii wa filamu Bongo, Musa Yusuf ‘Kitale’. Akistorisha na paparazi wetu, Mafufu alisema japo mambo ya siasa za uchaguzi yameisha lakini hawezi kuzungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani