Watuhumiwa wa EPA waachiwa huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Jul
Kisutu wawaachia huru watuhumiwa wa EPA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru Kada wa CCM Rajabu Maranda na wenzake waliokuwa wanakabiliwa na kesi wizi wa Sh milioni 207 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Watuhumiwa kujipatia mil. 128 kwa udanganyifu waachiwa huru
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watu wawili waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kujipatia sh milioni 128.3 kwa njia ya udanganyifu pamoja na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa simu....
10 years ago
Habarileo03 Nov
Waliofungwa kesi ya EPA waachiwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Wafungwa wa Guantanamo waachiwa huru
11 years ago
BBCSwahili23 Dec
Pussy Riot waachiwa huru
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Lipumba na wenzake waachiwa huru
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Vigogo Ilala waachiwa huru
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imewaachia huru vigogo wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, John Lubuva waliokuwa wakikabiliwa na mashitaka...
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Washukiwa wa Boko Haram waachiwa huru
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mateka wa Tanzania DRC waachiwa huru
WATANZANIA sita waliokuwa wameshikiliwa mateka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameachiwa huru usiku wa kuamkia juzi.