Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliofungwa kesi ya EPA waachiwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa EPA waachiwa huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru washtakiwa watano akiwamo Kada wa CCM, Rajabu Maranda baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka sita yaliyokuwa yakiwakabili likiwamo la kujipatia Sh 5.9 bilioni kutoka  Benki Kuu ya Tanzania (BoT) .

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Johnson LukazaMwesigwa Lukaza 

Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti  wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....

 

10 years ago

Habarileo

Wawili waachiwa huru kesi ya NMB

WASHITAKIWA wawili katika kesi ya mauaji na wizi wa Sh milioni 150 za benki ya NMB, wameachiwa huru na wengine 14 wamepatikana na kesi ya kujibu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Wawili waachiwa huru kesi ya mauaji ya Ubungo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru washtakiwa wawili katika kesi ya mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB, maarufu kama mauaji ya Ubungo Mataa.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya EPA yapigwa kalenda

KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.

 

10 years ago

Michuzi

Kesi ya epa kusikilizwa Agosti 25 na 29, 2014

Mshtakiwa wa kwanza  Rajabu Maranda anayekabiliwa na kesi ya wizi wa sh.milioni 207.2 za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) na wenzake wanne, jana alilazimika kufika mahakamani kusikiliza kesi yake akiwa amelala kwenye kiti cha kutembelea kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya mgongo.Mahakama ya Kisutu jana ilipanga kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa utetezi lakini ilishindwa kuendelea baada ya mwenyekiti wa jopo la mahakimu watatu wanaosikiliza kesi hiyo kuwa na udhuru wa kikazi.Madai...

 

10 years ago

Mwananchi

Maranda apangua kesi ya fedha za Epa

>Baada ya kupatikana na hatia katika kesi tatu za wizi wa Fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na hivyo kutumikia adhabu ya kifungo jela, hatimaye jana Kada wa CCM, Rajabu Maranda alipangua kesi mojawapo iliyokuwa ikimkabili.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Washtakiwa EPA wana kesi ya kujibu’

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaona wakurugenzi wa kampuni ya Njake Hotel &Tours, Jonathan Munisi na Japhet Lema wanaokabiliwa na kesi ya wizi kwenye akaunti ya EPA, kuwa wana kesi ya kujibu katika mashtaka yote yanayowakabili.

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE WASHINDA KESI YA EPA

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza. HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imewachia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa shilingi bilioni sita katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu (EPA), baada ya kuwaona hawana hatia. Hukumu hiyo Imetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu, Edson Mkasimongwa aliyekuwa akisaidiana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani