Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawili waachiwa huru kesi ya mauaji ya Ubungo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru washtakiwa wawili katika kesi ya mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB, maarufu kama mauaji ya Ubungo Mataa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wawili waachiwa huru kesi ya NMB

WASHITAKIWA wawili katika kesi ya mauaji na wizi wa Sh milioni 150 za benki ya NMB, wameachiwa huru na wengine 14 wamepatikana na kesi ya kujibu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

MMOJA AACHIWA HURU KESI YA MAUAJI YA BILIONEA WA MADINI ERASTO MSUYA

Na Ripota wa Globu ya Jamii.
OFISI ya mkurugenzi wa Mashtaka Nchini imemfutia mashtaka ya mauaji,mmoja  kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite bilionea , Erasto Msuya (43).
Hati ambayo imetumika kumwachia huru Joseph Damas (Chusa) ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu wa madini hayo  imetolewa na kusainiwa na mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Elieza Feleshi na kisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuiwasilisha kwa Hakimu...

 

11 years ago

Mwananchi

MASHAURI: Majaji wawili kusikiliza kesi 11 za mauaji Moshi

>Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imeanza vikao vya usikilizwaji wa kesi za mauaji 11 na miongoni mwa kesi hizo ni ya mauaji ya kutisha ya mtoto wa kiume wa miaka minne.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mahakama Moshi yaawachia huru washtakiwa 9 na kuwatia hatiani 3 kesi ya mauaji ya NMB Mwanga

moshi 1

Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje (aliyebeba mafaili), Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada  ya mahakama hiyo kuwatia hatiani kwa kosa la kuua Askari polisi katika  tukio la uporaji wa benki ya NMB Mwanga.

moshi 2

Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi baada ya mahakama kuu  kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuwaachia huru jana mchana katika kesi ya mauaji...

 

11 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAWAACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3 KATIKA KESI YA MAUAJI YA NMB MWANGA

Mshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje ( aliyebeba mafaili),  Mshtakiwa namba moja, Samwel Gitau Saitoti (alifunika uso) na mwenzake  Mshtakiwa namba 2, Michael Kimani wakitoka nje ya mahakama kuu baada  ya mahakama hiyo kuwatia hatiani kwa kosa la kuua Askari polisi katika  tukio la uporaji wa benki ya NMB Mwanga Washtakiwa namba 4 hadi 12, wakisaidiwa kupanda kwenye gari la Polisi baada ya mahakama kuu  kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kuwaachia huru leo mchana katika kesi ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pussy Riot waachiwa huru

Wanamuziki wote wa kundi la muziki wa Punk la Pussy Riot la nchini Russia wameachiliwa huru kutoka gerezani .

 

9 years ago

Mwananchi

Lipumba na wenzake waachiwa huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Profesa Ibrahim Lipumba ambaye alikuwa  Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi  CUF na wafuasi 30.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo Ilala waachiwa huru

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imewaachia huru vigogo wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, John Lubuva waliokuwa wakikabiliwa na mashitaka...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafungwa wa Guantanamo waachiwa huru

Marekani.Watu watano waliokuwa wanashikiliwa kwenye Gereza la Guantanamo Bay kwa zaidi ya miaka 13, wameachiwa huru na wamepelekwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani